Tanzania now catches up with Kenya in infrastructure projects

Wewe ni miongoni mwa vichaa hapa JF unafahamika hivyo, sasa kama nilimaanisha $160B kwanini jumla ya projects zote hapo chini ni $8.3B isiwe zaidi ya $160B?, tukiwadharau kwamba uwezo wenu wa akili ni mdogo mnasema tunadharau.

Ukweli ni kwamba mnataka kuvuruga huu uzi baada ya kujua ukweli kwamba projects, za Tanzania ni mara mbili ya projects zenu kwa thamani, mnaanza kushupalia typing errors za kijinga, kwanini msishangae jumla ya projects zote hiyo $160B haijajitokeza badala yake ni $8.3B, stupid
 
Mtachoka tu.

KQ - 5 million annual passengers.
ATCL - 200,000 passengers.

Imagine kutengeneza hasara hio yote na abiria 200,000? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚$
Zungumzia total projects za Tanzania kufikia zaidi ya $60B sawa na zaidi ya 40% ya projects zote za East Africa, Wakati Kenya ni $36B, sawa na 29% ya projects zote za East Africa, msijaribu kukimbia huu uzi kwa kuleta mada tofauti ili kuficha hii aibu. Tanzania ni baba lao.
 
Kwani tz huwa nyuma aje? Interchange moja imewashinda kumaliza ilhali hapa Kenya zipo Kila Kona ya Nchi...Mambo ya interchange tunawachia tz ikabiliane na Nakuru.
Interchange na overpass tulishakuwa nazo, mfano pale kurasini na barabara ya gerezani (barabara juu ya reli).

Hii ya ubungo inaongelewa sana kwasababu ya tatizo itakayotatua. Sehemu ile inatatizo kubwa la foleni na ndiyo njia kuu ya kutoka/kuingia Dar es salaam.
Mahakama Tz hamna ispokuwa Dar?


Mahakama zilikuwepo ila zilikuwa za kikanda, sasa hivi zinajengwa nyingi kila wilaya ili ziwe karibu zaidi na wananchi.Tanzania kuna wilaya zaidi ya 160.
Barabara Nchi Nzima na mlituambia Nchi Nzima ni lami to πŸ˜‚πŸ˜‚
Hizo zilizojengwa ni barabara za kitaifa (trunk roads) na za mikoa (regional roads), zinazojengwa sasa ni zile za kata (mashinani) na baadhi ya kitaifa zilizosalia.
Ndege zinazokamatwa ovyo kwa madeni Hadi haziruki kwa "tuliowakomboa" Yani mabwana zenu waliokuwa wanaombwa msaada wa madawati na gererali/mtume yohana mbenge mapadlocks.
Hii inauhusioano gani na ununuzi wa ndege?
Hio miradi mingine ni hewa zaidi kuliko hio nyingine uliotaja.
Leta uthibitisho.
 
Umeacha Kigongo-Busisi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndege ni infrastructure?
 
Show me complete projects wacha kutaja vitu viwili.
 

Sijui kama umesoma hio link imewekwa.
Article inaongea kuhusu projects za 2019. Ilhali mimi na wewe tunajua project mingi zimewekwa hapo kama LNG ya $30b ni project za zaidi ya miaka kumi, na zingine hata hazijaanzishwa.

Mwandishi wa ripoti lazima awe mzungu asiyefahamu mambo halisi.
 

Unaelewa nilichoandika? And btw; ujenzi wa bomba la mafuta Hoima - Tanga umefika asilimia ngapi leo hii? SGR ilikuwa izinduliwe lini vile?
 
Lappset $25b
Tatu $2.5b
Kisumu port $30m
JKIA-Westlands expressway $630m
Isibania -Kisii riad $195m
Eldoret- Nadapal- Juba Highway $1b
Kibwezi- Kitui road $230m
Outer ring road and Ngong` road expansion $170m
JKIA-Rironi $670m
Mombasa port expansion $ $200m
Dongo kundu Economic zone $2b
Kisumu-mamboleo junction $$26m
Affordable housing $
Mombasa- Mariakani dualing $173m

Among others.
 

Huna ujualo zaidi ya kuimba mapambio. Typing errors hadi kwenye jumla? Mtoto wa chekechea HAWEZI kufanya makosa ya namna hiyo.
 
Kwani ukiwa na miradi kumi ya $100mil, ukijulisha siunapata $1trl. Hivi wewe ukipewa 20ksh tano, utakataa na kusema hizi ni ndogo nipe 100ksh moja?
Kweli Hesabu ni shida Tanzania. Ukijumuisha $100m kumi unapata $1b na sio $1trl venye unasema.
 
Hata Kenya pia wameweka projects za 2019 zikijumlisha pesa yote ya SGR mpaka Malaba, hajajua kwamba mchina amejitoa kwa hiyo reli imeishia porini, pia hajajua kwamba Marekani imesimamisha pesa ya Mombasa - Nairobi high Way, huo mradi haupo tena.

Mimi nimeorodhesha projects zetu ambazo zipo U/C na zinaendelea, tafadhali na ninyi wekeni zakwenu zinazoendelea japo tulinganishe tupate picha halisi
 
Reactions: Oii
Unaelewa nilichoandika? And btw; ujenzi wa bomba la mafuta Hoima - Tanga umefika asilimia ngapi leo hii? SGR ilikuwa izinduliwe lini vile?
Umesikia magu akisema hakuna pesa za mbomba? Uzembe wa uganda haundeshani na kasi ya magu. SGR delay is force majeure.
Kwa akili hizi, magu yupo na kazi ya ziada kuelimisha ma zombie
 
Kweli Hesabu ni shida Tanzania. Ukijumuisha $100m kumi unapata $1b na sio $1trl venye unasema.
Acheni kushughulika na vitu vidogo na ky
Huna ujualo zaidi ya kuimba mapambio. Typing errors hadi kwenye jumla? Mtoto wa chekechea HAWEZI kufanya makosa ya namna hiyo.
Kwahiyo mimi sijui hesabu ninakubali, na wewe kubali kwamba huna akili kiasi cha kushindwa kuelewa makosa yaliyofanyika na kuachana nayo ili ujikite kwenye mada badala yake unashupalia makosa ya kimahesabu.
 
 

Phase 2 ya SGR ishafika Naivasha. Huo sio mradi ambao haujaanza, kama tunayoyaona Tanzania.
It's a matter of time na pesa za kufika Uganda zitapatikana.

Tanzania mkiondoa LNG na Bagamoyo, already mshashuka chini ya $10B πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Phase 2 ya SGR ishafika Naivasha. Huo sio mradi ambao haujaanza, kama tunayoyaona Tanzania.
It's a matter of time na pesa za kufika Uganda zitapatikana.

Tanzania mkiondoa LNG na Bagamoyo, already mshashuka chini ya $10B πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Mchina ameshakataa kutoa pesa, serikali yenu ilishatangaza kwamba reli itaishia Naivasha sasa hivi wanajenga reli ya Zamani kutoka Naivasha hadi Malaba, hakuna tena pesa wala mpango wa kuifikisha SGR hadi Malaba. Wakati huo huo kipande cha SGR toka Dar-MOROGORO, kimefikia 80% na kile Cha MOROGORO hadi Dodoma 30%, kumbuka hadi sasa hatujapata mkopo, yote hiyo ni pesa yetu, Hahahaha
 
Acheni kushughulika na vitu vidogo na ky

Kwahiyo mimi sijui hesabu ninakubali, na wewe kubali kwamba huna akili kiasi cha kushindwa kuelewa makosa yaliyofanyika na kuachana nayo ili ujikite kwenye mada badala yake unashupalia makosa ya kimahesabu.

Point kubwa hapa ni monetary value ya projects, in other words hesabu. So makosa ya kimahesabu yanamaanisha makosa ya habari nzima. Kwa hiyo wewe mwenye akili lakini usiejua hesabu tuambie mantiki ya post yako.
Everyone will laugh at your stupidity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…