joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Wewe ni miongoni mwa vichaa hapa JF unafahamika hivyo, sasa kama nilimaanisha $160B kwanini jumla ya projects zote hapo chini ni $8.3B isiwe zaidi ya $160B?, tukiwadharau kwamba uwezo wenu wa akili ni mdogo mnasema tunadharau.Jameni $160b yaani mara karibu nne ya uchumi wao, hawa kweli ni wa kuhurumiwa.
Muandishi wa haya makala inaonekana hakujua hawa waliangukia pua kwenye bandari ya Bwagamoyo, hawana kingine cha kuskika Afrika, hivi vimiradi wanataja humu ukijumuisha ni chenji kwa miradi ya Kenya.
Ukweli ni kwamba mnataka kuvuruga huu uzi baada ya kujua ukweli kwamba projects, za Tanzania ni mara mbili ya projects zenu kwa thamani, mnaanza kushupalia typing errors za kijinga, kwanini msishangae jumla ya projects zote hiyo $160B haijajitokeza badala yake ni $8.3B, stupid