joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Akili za kuku hizi, define project pleaseSiku hizi Kununua ndege ni project? Ok.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili za kuku hizi, define project pleaseSiku hizi Kununua ndege ni project? Ok.
Samahani, kumbe hukuelewa kwamba hiyo $160B ni typing error nikimaanisha ni $160M. Nilidhani umejirekebisha kumbe bado upuuzi wako unaendelea hata baada ya kuingia 2020?. Vipi ujenzi wa BRT ufike $160B, wewe ni mwendawazimu sina sababu ya kuendelea kujadiliana na weweProof (if ever anyone needed one), kuwa mtu hawezi kuwa apologetic wa ccm hii ya Magufuli kama anatumia akili yake ni hii post.
Ni muimba mapambio pekee ambae anaweza kujumlisha positive figures 11 tofauti ikiwemo 160B halafu total figure ikawa 8.3M.
Acha uzwazwa wewe, huyo muandishi amejumlisha na miradi mengine ambayo haijaanza kama vile mradi wa gesi $30B, na bomba la Uganda $4.5B, Mimi nimeweka ile ambayo ni U/C tena sio yote.
Wewe acha kukosoa nilichoweka, weka miradi ya Kenya ambayo ni U/C kwasasa ili tulinganishe, acha maneno mengi
Typical dangayika response,nataka unipe miradi ya over $1 bn sio hi miradi ya madafu- Bandari (Dar, Mtwara, Kigoma, Katavi)
- Meli mpya (Ziwa Victoria na Nyasa) na uboreshaji wa zile za zamani
- Hospitali 97 na zahanati 350 pamoja na vifaa (MRI, CT scan n.k)
- Ndege 11 (Dreamliner, Airbus etc)
- Maji (mf. kuvutwa kutoka ziwa victoria kwenda Tabora na miradi mingine ya maji nchi nzima)
- Rada nne (Dar, Kilimanjaro, Songwe, Mwanza)
- Ujenzi wa Mahakama nchi nzima
- Barabara ( Nchi nzima)
- Ubungo interchange,
- Ukarabati wa reli ya zamani (MGR)
etc
Hehe ati brt ni $160bn yaani uchumi wa bongo mara tatu [emoji33][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilishaa kwambia usanii kando miradi ya bongo haifiki $10bn wacha hiyo mna ota na $60bn1)Hydroelectric dam $3B
2)SGR $3.2B
3)BRT $160B
4)Salender bridge $360M
5)Ujenzi wa Meli na Chelezo $150M
6)Daraja la Busisi $400M
7)Ndege za ATCL $670M
8)Ujenzi wa rada 4 za kuongoza ndege $70M
9)Ubungo interchange $90M
10)Ukarabati wa Airpits 10 $275M
11)Dar-Kibaha Supper high $60M
Total =$8.3M
Leteni projects zenu U/C jumla zinazozidi $2B. Kumbuka kwamba SGR yenu haipo U/C kwasasa, ujenzi umesimama hakuna pesa kwa wakati huu.
Umeshaandaa Passport?
Umekosea mahesabu mzee! BRT ni $160 mln na ndege za ATCL ni zaidi kumbuka unit price ya dreamliner ni $ 248 mln sasa zipo mbili $496 mln then Airbuses mbili in 2018 was $ 91.5 mln ambazo ni $183 mln! Ukijumlisha gharama tayari $ 679 mln imepita! Hapo bado Bombardier Dash 8 nne $ 32.2 mln*4 ni $ 128.8 mln. Ukijumlisha unapata $ 807.8 mln hapo bado gharama nyingine kama kulipa madeni, inflight systems pia kupata IATA licence pia new booking system in the likes of Amadeus, ku-train ma-pilot na aircraft engineers, kuandaa karakana kwa vifaa na kadhalika yaani ni zaidi $1 bln!1)Hydroelectric dam $3B
2)SGR $3.2B
3)BRT $160B
4)Salender bridge $360M
5)Ujenzi wa Meli na Chelezo $150M
6)Daraja la Busisi $400M
7)Ndege za ATCL $670M
8)Ujenzi wa rada 4 za kuongoza ndege $70M
9)Ubungo interchange $90M
10)Ukarabati wa Airpits 10 $275M
11)Dar-Kibaha Supper high $60M
Total =$8.3M
Leteni projects zenu U/C jumla zinazozidi $2B. Kumbuka kwamba SGR yenu haipo U/C kwasasa, ujenzi umesimama hakuna pesa kwa wakati huu.
Tanzania projects total Value is $60B, while Kenya is only $36B, that means per each project in Tanzania values twice of that in Kenya
Umekosea mahesabu mzee! BRT ni $160 mln na ndege za ATCL ni zaidi kumbuka unit price ya dreamliner ni $ 248 mln sasa zipo mbili $496 mln then Airbuses mbili in 2018 was $ 91.5 mln ambazo ni $183 mln! Ukijumlisha gharama tayari $ 679 mln imepita! Hapo bado Bombardier Dash 8 nne $ 32.2 mln*4 ni $ 128.8 mln. Ukijumlisha unapata $ 807.8 mln hapo bado gharama nyingine kama kulipa madeni, inflight systems kupata IATA licence new booking system in Amadeus, ku-train ma-pilot, kuandaa karakana kwa vifaa na kadhalika yaani ni zaidi $1 bln!
+254, here we come please fasten your belt.View attachment 1348707
The Africa Construction Trends Report (2019) by Consultancy firm Deloitte released in January, shows that both Kenya and Tanzania recorded g 51 projects in 2019. Tanzania’s total share of projects by value is 41.2% (US$60.3bn), making it the largest contributor
towards East Africa’s total project value.
![]()
Tanzania now catches up with Kenya in infrastructure projects - CCE l ONLINE NEWS
Tanzania is now at per with Kenya in terms of infrastructure projects, both recording 51 projects in 2019, a new report has revealed.cceonlinenews.com
Sent using Jamii Forums mobile app
50% Miradi ya kenya imekwama sababu ya pesa. Wapi umesikia Mradi Tanzania umekwama?Halafu ukapata sum total uliyopata? Hongera kwa kudhihirisha to all and sundry kuwa wewe ni aina gani😂😂😂
Yes, All ATCL planes are owned by GOT for profit unlike kenya government that has no single passanger plane even a bombadierMnahesabu kununua ndege kama infrastructure project? 😂😂😂😂
kanyambe! Hatununui kwa mkopo sie so listed price is applicable as no interests on top!Mnahesabu kununua ndege kama infrastructure project? 😂😂😂😂
Hehehe yaani kituko.....Mnahesabu kununua ndege kama infrastructure project? 😂😂😂😂
Miwili ya mwanzo ni over 1B, wewe nipe mmoja tu ambao ni over $1B, kumbuka kwamba SGR yenu imesimama kwa kukosa pesa, Kwahiyo sio U/C.Typical dangayika response,nataka unipe miradi ya over $1 bn sio hi miradi ya madafu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ukiwa na miradi kumi ya $100mil, ukijulisha hupati $1b? Ukipewa 20ksh tano, utakataa na kusema hizi ni ndogo nipe 100ksh moja?Typical dangayika response,nataka unipe miradi ya over $1 bn sio hi miradi ya madafu
Hehe ati brt ni $160bn yaani uchumi wa bongo mara tatu [emoji33][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilishaa kwambia usanii kando miradi ya bongo haifiki $10bn wacha hiyo mna ota na $60bn
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes, All ATCL planes are owned by GOT for profit unlike kenya government that has no single passanger plane even a bombadier
Yes, All ATCL planes are owned by GOT for profit unlike kenya government that has no single passanger plane even a bombadier