Tanzania now catches up with Kenya in infrastructure projects

Tanzania now catches up with Kenya in infrastructure projects

Proof (if ever anyone needed one), kuwa mtu hawezi kuwa apologetic wa ccm hii ya Magufuli kama anatumia akili yake ni hii post.
Ni muimba mapambio pekee ambae anaweza kujumlisha positive figures 11 tofauti ikiwemo 160B halafu total figure ikawa 8.3M.
Samahani, kumbe hukuelewa kwamba hiyo $160B ni typing error nikimaanisha ni $160M. Nilidhani umejirekebisha kumbe bado upuuzi wako unaendelea hata baada ya kuingia 2020?. Vipi ujenzi wa BRT ufike $160B, wewe ni mwendawazimu sina sababu ya kuendelea kujadiliana na wewe
 
Acha uzwazwa wewe, huyo muandishi amejumlisha na miradi mengine ambayo haijaanza kama vile mradi wa gesi $30B, na bomba la Uganda $4.5B, Mimi nimeweka ile ambayo ni U/C tena sio yote.
Wewe acha kukosoa nilichoweka, weka miradi ya Kenya ambayo ni U/C kwasasa ili tulinganishe, acha maneno mengi

Halafu ukapata sum total uliyopata? Hongera kwa kudhihirisha to all and sundry kuwa wewe ni aina gani😂😂😂
 
- Bandari (Dar, Mtwara, Kigoma, Katavi)
- Meli mpya (Ziwa Victoria na Nyasa) na uboreshaji wa zile za zamani
- Hospitali 97 na zahanati 350 pamoja na vifaa (MRI, CT scan n.k)
- Ndege 11 (Dreamliner, Airbus etc)
- Maji (mf. kuvutwa kutoka ziwa victoria kwenda Tabora na miradi mingine ya maji nchi nzima)
- Rada nne (Dar, Kilimanjaro, Songwe, Mwanza)
- Ujenzi wa Mahakama nchi nzima
- Barabara ( Nchi nzima)
- Ubungo interchange,
- Ukarabati wa reli ya zamani (MGR)
etc
Typical dangayika response,nataka unipe miradi ya over $1 bn sio hi miradi ya madafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1)Hydroelectric dam $3B
2)SGR $3.2B
3)BRT $160B
4)Salender bridge $360M
5)Ujenzi wa Meli na Chelezo $150M
6)Daraja la Busisi $400M
7)Ndege za ATCL $670M
8)Ujenzi wa rada 4 za kuongoza ndege $70M
9)Ubungo interchange $90M
10)Ukarabati wa Airpits 10 $275M
11)Dar-Kibaha Supper high $60M
Total =$8.3M

Leteni projects zenu U/C jumla zinazozidi $2B. Kumbuka kwamba SGR yenu haipo U/C kwasasa, ujenzi umesimama hakuna pesa kwa wakati huu.
Hehe ati brt ni $160bn yaani uchumi wa bongo mara tatu [emoji33][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilishaa kwambia usanii kando miradi ya bongo haifiki $10bn wacha hiyo mna ota na $60bn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1)Hydroelectric dam $3B
2)SGR $3.2B
3)BRT $160B
4)Salender bridge $360M
5)Ujenzi wa Meli na Chelezo $150M
6)Daraja la Busisi $400M
7)Ndege za ATCL $670M
8)Ujenzi wa rada 4 za kuongoza ndege $70M
9)Ubungo interchange $90M
10)Ukarabati wa Airpits 10 $275M
11)Dar-Kibaha Supper high $60M
Total =$8.3M

Leteni projects zenu U/C jumla zinazozidi $2B. Kumbuka kwamba SGR yenu haipo U/C kwasasa, ujenzi umesimama hakuna pesa kwa wakati huu.
Umekosea mahesabu mzee! BRT ni $160 mln na ndege za ATCL ni zaidi kumbuka unit price ya dreamliner ni $ 248 mln sasa zipo mbili $496 mln then Airbuses mbili in 2018 was $ 91.5 mln ambazo ni $183 mln! Ukijumlisha gharama tayari $ 679 mln imepita! Hapo bado Bombardier Dash 8 nne $ 32.2 mln*4 ni $ 128.8 mln. Ukijumlisha unapata $ 807.8 mln hapo bado gharama nyingine kama kulipa madeni, inflight systems pia kupata IATA licence pia new booking system in the likes of Amadeus, ku-train ma-pilot na aircraft engineers, kuandaa karakana kwa vifaa na kadhalika yaani ni zaidi $1 bln!
 
Tanzania projects total Value is $60B, while Kenya is only $36B, that means per each project in Tanzania values twice of that in Kenya

Waandishi wa ripoti wamekosea kuongea kuhusu project za 2019, ilhali zingine kama LNG ($30b) ambayo wamejumulisha hapo ndani itamalizwa karibu 2048. 😂 😂 😂
 
Umekosea mahesabu mzee! BRT ni $160 mln na ndege za ATCL ni zaidi kumbuka unit price ya dreamliner ni $ 248 mln sasa zipo mbili $496 mln then Airbuses mbili in 2018 was $ 91.5 mln ambazo ni $183 mln! Ukijumlisha gharama tayari $ 679 mln imepita! Hapo bado Bombardier Dash 8 nne $ 32.2 mln*4 ni $ 128.8 mln. Ukijumlisha unapata $ 807.8 mln hapo bado gharama nyingine kama kulipa madeni, inflight systems kupata IATA licence new booking system in Amadeus, ku-train ma-pilot, kuandaa karakana kwa vifaa na kadhalika yaani ni zaidi $1 bln!

Mnahesabu kununua ndege kama infrastructure project? 😂😂😂😂
 
View attachment 1348707
The Africa Construction Trends Report (2019) by Consultancy firm Deloitte released in January, shows that both Kenya and Tanzania recorded g 51 projects in 2019. Tanzania’s total share of projects by value is 41.2% (US$60.3bn), making it the largest contributor
towards East Africa’s total project value.



Sent using Jamii Forums mobile app
+254, here we come please fasten your belt.
 
Halafu ukapata sum total uliyopata? Hongera kwa kudhihirisha to all and sundry kuwa wewe ni aina gani😂😂😂
50% Miradi ya kenya imekwama sababu ya pesa. Wapi umesikia Mradi Tanzania umekwama?

 
Hii habari si imewauma wakenya mnoo 😂😂😂
Na bado... huu ni mwanzo tu,
Endeleeni kuficha vichwa vyenu kwenye mchanga.
 
Typical dangayika response,nataka unipe miradi ya over $1 bn sio hi miradi ya madafu

Sent using Jamii Forums mobile app
Miwili ya mwanzo ni over 1B, wewe nipe mmoja tu ambao ni over $1B, kumbuka kwamba SGR yenu imesimama kwa kukosa pesa, Kwahiyo sio U/C.

Kumbuka hiyo $60B, ni jumla ya miradi yote 51, bila kujali gharama ya kila mradi, sasa hii idea ya mradi mmoja kuwa over $1B inakujaje?, wewe lete orodha ya miradi yenu yote ambayo ni U/C tuone kama jumla yake itafika $3B
 
Hehe ati brt ni $160bn yaani uchumi wa bongo mara tatu [emoji33][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilishaa kwambia usanii kando miradi ya bongo haifiki $10bn wacha hiyo mna ota na $60bn

Sent using Jamii Forums mobile app

Jameni $160b yaani mara karibu nne ya uchumi wao, hawa kweli ni wa kuhurumiwa.
Muandishi wa haya makala inaonekana hakujua hawa waliangukia pua kwenye bandari ya Bwagamoyo, hawana kingine cha kuskika Afrika, hivi vimiradi wanataja humu ukijumuisha ni chenji kwa miradi ya Kenya.
 
Yes, All ATCL planes are owned by GOT for profit unlike kenya government that has no single passanger plane even a bombadier

Mtachoka tu.

KQ - 5 million annual passengers.
ATCL - 200,000 passengers.

Imagine kutengeneza hasara hio yote na abiria 200,000? 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom