Kuna kuamua kuuza, kupangisha au kubadili matumizi ya nyumba kulingana na wakati.My take:
Kama mtu hapendi kulia chakula dinning room, Ni Bora TU KWENYE ramani yake asiijenge.
Ni upotezaji wa rasilimali fedha KUJENGA kitu usichokua na matumizi nacho.
Dinning ni kwa ajili ya wanaokula( dinning)Sio kula snacks uende dinning. Wengi tunaishi kwa snacks na sio mealWakuu,
Nimefanya utafiti usio rasmi.
Ndani ya Tanzania yetu
Nyumba nying Sana zinajengwa zikiwa na sehemu ya dinning room...
Inaonekana.Kula pamoja mezani na kusali pamoja ni vitu muhimu ambavyo vinasahaulika katika jamii. Mnapo sali pamoja ni rahisi watoto kukumbuka sala hata wakiondoka nyumbani. Kula pamoja kunafundisha watoto table manners...
Sawa sawa, point Muhimu Sana hiyoKuna kuamua kuuza, kupangisha au kubadili matumizi ya nyumba kulingana na wakati.
Kwahiyo usemalo si sahihi.
Halafu hao wanaokula chakula sebuleni mbona wastaarabu sana, wengine baada ya kupata ration yake ya chakula anaingia chumbani.
Watanzania wengi hutumia dinning room kwa matukio maalum zikiwemo siku wametembelewa na mgeni.
Cha kushangaza baba anasema nileteeni chakula changu hapa huko watoto wako wanasumbua sana. Wakati watoto uliwazaa mwenyewe na wanauliza maswali ili waelewe dunia.Inaonekana
Teknolojia imeharibu miiiko na ustaarabu wa familia
Kula na familia, linaiweka familia pamojaTatizo kubwa ni uchumi wa kati. Baba na mama wanakuwa hawapo karibu ili wale na watoto. Wanakuwa busy kutafuta fedha.
Kuna jamaa aliniambia nchi ya uswisi inaheshimu familia kula pamoja na ndiyo maana muda wa jioni maduka yanafungwa ili kulipisha hilo zoezi. Sina uhakika kama ni kweli.
Kabisa,Cha kushangaza baba anasema nileteeni chakula changu hapa huko watoto wako wanasumbia sana. Wakati watoto uliwazaa mwenyewe na wanauliza maswali ili waelewe dunia.
Dinning ni kwa ajili ya wanaokula( dinning)Sio kula snacks uende dinning.Wengi tunaishi kwa snacks na sio meal
Kwa kweli mimi nilichukia kula pamoja dinning kwa sababu ya mama wa kambo.Kula pamoja mezani na kusali pamoja ni vitu muhimu ambavyo vinasahaulika katika jamii. Mnapo sali pamoja ni rahisi watoto kukumbuka sala hata wakiondoka nyumbani. Kula pamoja kunafundisha watoto table manners..
Si chooni?Mimi huwa nalia jikoni.
Dah, mama yako anafanana sana na wangu! Aisee kwa wiki ikitokea sijapigwa basi ni Mara mbili au tatu, asipokua bize na mambo yake basi wiki nzima atatembeza stick, ikifika jioni unaanza kuwaza Leo nitakua nimekosea wapi.. Wife nae anatabia hii, hana dogo, yaani muda wa kula ndio anaanza kuhukumu kesi za watoto! Nakerekaga sana.Kabisa,
hapo umenigusa hata Mimi pia.
Nlipokua mdogo Nlkua sipendi kula chakula dinning pamoja na familia....
Mpira hauwezi kuwa kigezo cha kuondoa ustaarabu. Mbona Dinning room nyingi zina TV nazo? Afterall sitting room hakupaswi kuwa na TV ni bora ikakaa katika chumba chake ili wapenzi wa TV wakae huko. Siamini kama mgeni kwa sasa anataka kuja kwako kuangalia TV kama wakati wa Enzi za Mwalimu, kuvinjali video.Kula pamoja mezani na kusali pamoja ni vitu muhimu ambavyo vinasahaulika katika jamii. Mnapo sali pamoja ni rahisi watoto kukumbuka sala hata wakiondoka nyumbani. Kula pamoja kunafundisha watoto table manners...