Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani huwezi kujenga dining room ambayo unaona living room kwenye Tv? I wish niweke yangu jinsi ilivyounganakula ule huku unatizamq tv ndio kunoga na ertugul
Mimi kwangu ni open floor plan (jiko na sebule vipo pamoja). Sina dinning room nina kitchen island kati kati yenye ukubwa wa futi 5 kwa 3. Huwa nakaa ktk sectional coach kupata chakula.Kwani huwezi kujenga dining room ambayo unaona living room kwenye Tv? I wish niweke yangu jinsi ilivyoungana
Hapa mito ya sofa mingi kuliko idadi ya majirani
Wakuu,
Nimefanya utafiti usio rasmi.
Ndani ya Tanzania yetu. Nyumba nyingI Sana zinajengwa zikiwa na sehemu ya dinning room.
Cha kushangaza, nyumba nyingi Sana Dinning room zimegeuzwa eneo la wazi na lisilotumika kwa ajili chakula Kama ilivyokusudiwa.
Wengi Sana Nimeona bado wana utamaduni wa kulia chakula sebleni (living room).
Hii imekaaje, nini MTIZAMO Wako kuhusu ili suala.
My take:
Kama mtu hapendi kulia chakula dinning room, ni Bora tu kwenye ramani yake asiijenge.
Ni upotezaji wa rasilimali fedha kujenga kitu usichokua na matumizi nacho.