Ha ha ha.....Dinning Table ya kazi gani na wakati chakula ushapakuliwa kwenye sahan!?hizi tamaduni tumecopy bila kuelewa maana yake..
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Ni utaratibu mbovu Sana,Ni kweli Mkuu,tushaongea sana ila mwenzangu naona ipo kwenye damu yake.!
Inaonekana kina mama wengi wanapenda haka kautaratibu.
Naona Kama hiyo iko kidini zaidiWanaume hawatakiwi kukaa pamoja na wanawake kwenye meza ya chakula.
Nyumba lazima itenganishe sebule ya wanawake na wanaume.
Mtoto wa kiume afundishwe ya kiume kwenye kikome na mtoto wa kike afundishwe ya kike huko jikoni na mama zake.
Kipato Kama Ni Cha kuunga unga, ilo haliwezekani mkuu.Mpira hauwezi kuwa kigezo cha kuondoa ustaarabu. Mbona Dinning room nyingi zina TV nazo? Afterall sitting room hakupaswi kuwa na TV ni bora ikakaa katika chumba chake ili wapenzi wa TV wakae huko. Siamini kama mgeni kwa sasa anataka kuja kwako kuangalia TV kama wakati wa Enzi za Mwalimu, kuvinjali video.
[emoji1][emoji1] kwetu kulikua na utaratibu.Mpaka mgeni aje ndio pamatumika pamoja na zile dinner set zinazokaaka kabatini[emoji3][emoji3][emoji3]
Katika tabia mbovu.... hii iko kwenye list. Haifai, muda wa kula, watu wale chakula. Kama kuna issues utafutwe muda wake.Ndo MDA unaanza kusemwa makosa yako Yote uliofanya siku nzima.
Iko kijamii zaidi ndiyo watoto wetu siku hizi hata wa kiume wana haiba za kike kike tu kwa sababu mnawakuza kike.Naona Kama iyo iko kidini zaidi
Geto lako kali
Ndio mzee geto langu kali thanaaaaaGeto lako kali
π πππ au nasema uongo ndugu yangu?!!Ndio mzee geto langu kali thanaaaaa
Uko sahihi bana ila angalia usijesononesha watu mana hawachelewi kusema jf kila mtu fogo fogolistπ πππ au nasema uongo ndugu yangu?!!
Nimepaelewa kwa kweli, pametulia
Sana hapo dinning yako haiboiNimepaelewa kwa kweli, pametulia
Haswaaaaaaah yaanSana hapo dinning yako haiboi