Tanzania: Nyumba nyingi dining room zinajengwa, ila hazitumiki

kula ule huku unatizamq tv ndio kunoga na ertugul
 
Kwani huwezi kujenga dining room ambayo unaona living room kwenye Tv? I wish niweke yangu jinsi ilivyoungana
Mimi kwangu ni open floor plan (jiko na sebule vipo pamoja). Sina dinning room nina kitchen island kati kati yenye ukubwa wa futi 5 kwa 3. Huwa nakaa ktk sectional coach kupata chakula.

Muonekano wake ni kama huu.







 
Katika Hilo mm mjengo ninaoendelea kuujenga nimeweka open kitchen na dinning table design hapo hapo kupunguza mambo mengi very simple
 
Wengine wana dining mbili ile ya familia na ya wageni ambayo mara nyingi huwa ni kubwa na hii hutumika mara chache kama kuna wageni au special occasion for members of the family.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…