Tanzania opens the largest and most advanced general hospital in East Africa

ukiona unashindwa unaanza kujifanya dunderhead. Medical turist hajakuja kuangala vivutio vya kitaali. hua anakuja kutibiwa hospitalini kama sababu ya kuingia nchini...kawaida mtu mgonjwa huwa anataka apone kwahivyo atachagua hospitali ambayo ina sifa za kutibu vizuri na bageti ya kadri.......

Medical tourism au pia hospital-to-hospital referals huwa ni mmojawepo wa vigezo vya kujua kama kweli hositali ni nzuri, mtu hawezi kukata tiketi ya ndege kwenda nchi ya ng'ambo yoyote tu kwenda kutibiwa. wengi wao hua wanataka the best and most cost effective treatment na hapa Africa ni kina Egypt, Mauritius, Morocco, South Africa na Tunisia ndio wanaojulikana kuwa na best hospitals African nzima, lakini sasa Kenya pia imeanza kusifika kimataifandio maana unaona hao watalii wgonjwa wanaanza kuongezeka kila mwaka.
The best proof that you are the best is for someone else to say it, not for you to tell yourself and more medical tourists coming to Kenya is one good proof that we have the best hospitals and doctors in the region
Ninakusamehe kwasababu umesoma shule za Kenya, ambapo vitu viwili tu ndivyo vinavyopewa umuhimu kufundishwa, kiingereza na Ukabila. Katika maelezo yangu nilikuambia, kwa miaka mingi tangu Kenya na Tanzania zipate Uhuru, Kenya imekua ikipokea watalii wengi kuliko Tanzania, je Kenya inavivutio vingi vya utalii kuliko Tanzania?, wewe akili yako ni hovyo sana..
 
Ukiluza swali kibwege unajibiwa kibwege, uliuliza Kenya na hukua specific wapi. Kwa taarifa yako hicho mnachojisifia na kushanga shangaa leo tumekua nacho hata kwenye hospitali ya KNH na ipo accessible hata kwa mwananchi wa kawaida.

Lete ushahidi kama KNH kuna cathlab, mavi ya kuku, hata CTscans karibu zote zimeharibika KNH itaweza kuwa na cathlab?, nchi isiyojali wananchi wake hiyo haiwezi kununua kifaa hicho, kitabaki private hospitals tu.

Umemsikia Magufuli juzi?, pesa ya PET scan imeshatoka, by January 2018 njooni mje mpate huduma hiyo, msiende tena India..Tanzania usiilinganishe tena na nchi mbovu hiyo ya Kunya..bwege wewe..
 
I know many threads zimeshafunguliwa about this in Tanzanian forums ila niliona niwaletee habari hii ndugu zangu wakenya.
Karibuni Bongo mpate world class services!

m17-768x512.jpg

Cs8kmhkXYAAQ_Ot.jpg

CqUy5T9XEAUWEhZ.jpg

Can accomodate over 570 inpatients and has a TZS 206 billion price tag!
Hamna chochote hapo. Kipimo kizuri tuangalie Mawaziri au Maraisi wetu wastaafu watatibiwa hapo?
Hakutakuwa tena na kuchekiwa Afya Ulaya? Hata ikawa ni kama Banda la mbuzi hicho ndio kipimo kizuri, vyenginevo ni kutudanganya sisi
 
Swali. Wataalamu wapo? Au ndo ile kujaribusha tu na kuharibu vyombo?
 
Hata iweje, bado siwezi fanya liver au kidney transplant hapa.
 
Ukiluza swali kibwege unajibiwa kibwege, uliuliza Kenya na hukua specific wapi. Kwa taarifa yako hicho mnachojisifia na kushanga shangaa leo tumekua nacho hata kwenye hospitali ya KNH na ipo accessible hata kwa mwananchi wa kawaida.

Mnatia aibu, hata umeme wakati wa kufanya operation kubwa, mbele ya wageni waliokuja kuwasaidia, tena Hospitali kubwa kama KNH pia hakuna, mnashindwa hata kununua standby generetor?, ona sasa mabwana zenu wa kimarekani walivyofedheheka
Helping Hearts in Kenya
 
In a d#ck measuring contest kama vile mwenzangu MK254 alisema, all parties involved should draw them d#cks from their pants for all to see lakini wengine hapa hawazitoi zao lakini wabweka vile zao ni kubwa. Wapi data to back your facts? What ratio is patient to doctor in Tz? Life expectancy in Tz? Infant Mortality in Tz and compare that with Kenya's with Factual data so zile mnachimbua toka t@ko zenu please.
 
Kuwa na uwanja mkubwa hakuguarantee 100% improvement ya soka lako. Tuache kelele za ksiwahili sababu ya majengo, kikubwa huduma.

Tunaweza kuwa na facilities na bado tukafelishwa na kuleta siasa kwenye taaluma za watu. Daktari anastahili ujira unaoendana na kazi yake na sio ngonjera
Tatizo Bongo ni kelele sana na utendaji wa kazi ni 0 kabisa, kwa mfano awamu hii hakuna kinachoendelea kabisa zaida ya propaganda. Inaacha kufanya maendelea yenyewe inadili na wapinzani tu eti ndiyo wanaokwamisha maendeleo. My take ipo siku tutalia na hii serikali ya matukio,,,,,,,,,,,,,,,,, big up Zimbabwean peoples
 
In a d#ck measuring contest kama vile mwenzangu MK254 alisema, all parties involved should draw them d#cks from their pants for all to see lakini wengine hapa hawazitoi zao lakini wabweka vile zao ni kubwa. Wapi data to back your facts? What ratio is patient to doctor in Tz? Life expectancy in Tz? Infant Mortality in Tz and compare that with Kenya's with Factual data so zile mnachimbua toka t@ko zenu please.
Wewe akili yako ni ndogo kiasi cha kujibiwa na watoto wadogo, kinachozungumziwa hapa ni best Hospital, sio vinginevyo, huko tutakuja baadae, ngoja nikupe mfano mzuri, Tanzania ina uwanja mzuri na wakisasa kuliko vyote hapa EAC, lakini katika viwangu vya FIFA, Uganda na Kenya zipo juu ya Tanzania, lakini hiyo haibadilishi ukweli kwamba Tanzania has the best stadium in EAC, acha kukataa ukweli, kwa sasa hivi Tanzania has the best Hospitals within East and Central Africa
 
Lete ushahidi kama KNH kuna cathlab, mavi ya kuku, hata CTscans karibu zote zimeharibika KNH itaweza kuwa na cathlab?, nchi isiyojali wananchi wake hiyo haiwezi kununua kifaa hicho, kitabaki private hospitals tu.

Umemsikia Magufuli juzi?, pesa ya PET scan imeshatoka, by January 2018 njooni mje mpate huduma hiyo, msiende tena India..Tanzania usiilinganishe tena na nchi mbovu hiyo ya Kunya..bwege wewe..

Unaongeaje kama mtu aliyejawa na shahawa mdomoni baada ya kufanya blowjob, unayo ushahidi gani kwamba KNH hawana cathlab Angiography-Cath Lab at the teaching and referral Kenyatta National Hospital | Department of Diagnostic Imaging & Radiation Medicine
Halafu naona umehamia kwenye masuala ya umeme baada ya kushindwa, pia umesahau pamoja na gesi na vyanzo vyote hivyo vya umeme bado hamjafikia Kenya kwenye uzalishaji wa umeme. Mpo nyuma sana hata kuwaza kushindana na Kenya kwa lolote.
 
Huwa tunasikia kwamba Kenya kuna mashoga wengi, ninahisi wewe ni miongoni mwao, hiyo ni Angiography- cathlab, hiyo kazi yake ni kufanya diagnosis pekee, haina uwezo wa kufanya correction, very old technology hiyo acha ushamba, kazi ya hiyo ni kuangalia tu na kutoa taarifa wa tatizo lilipo, na kuchukua biopsy, then mgonjwa anapasuliwa kifua au anafanyiwa operation kurekebisha tatizo, ile ya Mater Hospital ndiyo inayoweza kufanya vyote, diagnosis and treatment, hiyo ndiyo ya kisasa zaidi inayotumika siku hizi, hiyo ya KNH ni outdated haitumiki siku hizi, mshamba mkubwa wewe.

Kuhusu umeme, huku hatuna shida ya umeme kwa sababu tunachozalisha ndicho tunachohitaji, kitu tunachowazidi tena kwa mbali ni kwamba miundo mbinu ya usambazaji umeme ni mizuri haukatiki mara kwa mara kama huko kwenu, hasa katika Sehemu nyeti kama hospitali, ninyi hadi maji hapo Nairobi ni mgao, huwezi amini cholera haiishi hapo Nairobi tena kwenye Hoteli kubwa kabisa..haya nenda kwa bwana wako akufanye kidogo[emoji1]
 
Wewe akili yako ni ndogo kiasi cha kujibiwa na watoto wadogo, kinachozungumziwa hapa ni best Hospital, sio vinginevyo, huko tutakuja baadae, ngoja nikupe mfano mzuri, Tanzania ina uwanja mzuri na wakisasa kuliko vyote hapa EAC, lakini katika viwangu vya FIFA, Uganda na Kenya zipo juu ya Tanzania, lakini hiyo haibadilishi ukweli kwamba Tanzania has the best stadium in EAC, acha kukataa ukweli, kwa sasa hivi Tanzania has the best Hospitals within East and Central Africa
Exactly my point bro, Uwanja mzuri(building), hospitali(building), ustarabu na kadhalika but nothing tangible to show for it yani ni kama monument ambayr faida kubwa ni kufurahisha macho.
 
Kwa hiyo kama umekubali kwamba Tanzania we have best Hospitals than you guys, then we can now contenue with other areas, remember you can't provide better health care, or better education services without better infrastructure, what Tanzania is doing now, is on the right path to be giant in all sectors, always you should watch and be afraid by a person who is at its stages of struggle, because you never know what will achieve at the end. It seems you Kenyans are satisfied with what you have so far.
 
Exactly my point bro, Uwanja mzuri(building), hospitali(building), ustarabu na kadhalika but nothing tangible to show for it yani ni kama monument ambayr faida kubwa ni kufurahisha macho.
It is the same way Kenya has bigger GDP but citizens are poor than Tanzania and Uganda, nothing to show from its bigger GDP
 
Ninakusamehe kwasababu umesoma shule za Kenya, ambapo vitu viwili tu ndivyo vinavyopewa umuhimu kufundishwa, kiingereza na Ukabila. Katika maelezo yangu nilikuambia, kwa miaka mingi tangu Kenya na Tanzania zipate Uhuru, Kenya imekua ikipokea watalii wengi kuliko Tanzania, je Kenya inavivutio vingi vya utalii kuliko Tanzania?, wewe akili yako ni hovyo sana..
Ikija kwa hospitali, ndiyo! kenya inavivutio vingi na watalii wengi. Hata hivyo, huo mfano uliotumia si mfao mzuri, ungetumia mfano wa vivutio 'bora' na wala si vivutio 'vingi'

Alafu kw mambo ya elimu hata afadhali unyamaze kabla sijakuaibisha bure.. yani hapo ulipoketi umejidanganya eti mnahospitali nzuri zaidi, hehe

Hii ndo Tanzania ya biggest and best hospital' ambayo madaktari wake wako level sawa na nurses wa kenya,

Ugandan doctors rank low in region - Economic Policy Research Centre
The report says that 42% of Uganda medics cannot accurately diagnose major diseases. The situation is worse in public health centres offering only outpatient services where half of the providers diagnosed none or only one of five tracer conditions.

An estimated 58% of Uganda's medics got the diagnosis accurate, compared to 72% in Kenya, 57% in Tanzania and 34% in Senegal.

Ugandan public providers managed to correctly diagnose only slightly more than half (56%) of the trace conditions. Only 35% of public health providers could correctly diagnose at least four out of five common conditions (like diahoria with dehydration and malaria with anemia).

"Worryingly, public providers followed only one out of five (20%) of the correction actions needed to manage maternal and neonatal complications,? the report states.

Even when providers correctly diagnose a condition there no guarantee the patient will be treated.

"Indeed the correct treatment was rrecommended in only 36%of the cases, reflecting Weak provider knowledge,? says the service Delivery report whose aim the World Bank said, Is to spur accountability.

"Doctors in Uganda performed at about the Same level as Kenyan nurses on both diagnostic accuracy and the capability to provide full treatment, "it adds.

The SDI initiative is a partnership of the World Bank, the African economic research

Consortium and the African Development Bank to track service delivery performance in sub-Saharan Africa over time.

The preliminary report, launched in November last year was based on surveys of about 400 Health facilities and nearly 2500 health providers Country wide.

The researchers assessed quality in the Health sector using two indicators: adherence Clinical guidelines in five tracer conditions and the management of maternal and newborn complications; and diagnostic accuracy in five tracer conditions.

Three of the tracer conditions were child hood conditions (malaria with anaemia acute)

Diarrhoea with severe dehydration and pneumonia), and two were adult conditions (pulmonary tuberculosis and diabetes mellitus).

The other two conditions included post-partum haemorrhage, the most common cause of material death during birth and neonatal asphyxia, which is the most common cause of neonatal death during birth.

Uganda performed better than Kenya on input indicators and adherence to guidelines. However, Kenya health providers were 20% more likely to get the diagnosis right and were twice as likely to correctly manage maternal and neonatal complications.

Health providers in Senegal and Tanzania performed poorly compared to Uganda and Kenya on diagnostic accuracy, adherence to guidelines and input indicators.

Although almost nine out of 10 (88%) providers were able to correctly diagnose pulmonary tuberculosis, nearly half (47%) did not prescribe the correct treatment required.

Malaria and anaemia were the least likely to be correctly diagnosed and less than one in 10 receiving the correct treatment.

"It is particularly worrying that so few health providers were able to even diagnose potentially deadly conditions such as malaria and diarrhoea," the report says.

Health providers in private health facilities were not consistently better than their counter parts in the public sector .Also, there were large differences across different parts of the country, with health providers in northern Uganda being the worst performers.

Uganda medics (48%) were, however, the best in adhering to clinical guidelines, followed by medics in Kenya (44%), Tanzania (34%) and then Senegal (22%).

Ugandan medics respond
Robinah Karitirimba, the executive director of Uganda national health users /consumers Organisation (UNHCO), disputed the report, saying the study was conducted in the lower health centre 2and 3s where diagnosis is likely to be poor because there a no doctors.

"There is something missing in the report but of course it raises something important about our health care system because most patients go to the lower health centres," she explained.

Kaitiritimba also disputed the allegation that the quality of Ugandan doctors is lower than that of their Kenyan colleagues. She said the only difference is that Kenya has a strong medical associations and the medics are better motivated.

Dr Katumba Ssentongo, the Uganda medical and dental practitioners council registrar, said cases of wrong diagnosis were exaggerated.

"Any practitioner can give wrong diagnosis at certain point .It happens even in Europe, but not to the levels the report put it."
 
Nadhani umeelewa kilichobaki unatafuta smooth landing, the truth remains, we have the best stadium, we have the best hospitals, we have the best inter regions/counties road networks, we have the best water distribution system, especially in cities and towns, soon we are going to have best airport, best and faster electric train, and biggest port of Bagamoyo...
 
Ndio nimesema tangu huu uzi uanze, hamna mtu analeta facts, yote imekua parapanda za 'feel good', ni kama watu wanaojipiga punyeto. Kulingana na takwimu za World Health Organisation, Kenya imeizdi Tanzania kwa life expectancy.... Those are the facts I want, sio hizo parapanda za kusema largest health facility in East and Central Africa wakati hamjaleta data za kuonyesha huo ukweli, sasa nilipo wapa changamoto za kuleta data mumekimbilia kwenye life expectancy, na huko pia mpo chini.

Kenya ndio kinara kwa mambo yote ukanda wote huu, na itachukua muda kwa nchi yoyote kutufikia, hususan nyie Waswahili kila siku dezo dezo kitaa, hamfanyi chochote kwenye liinchi likubwa lenye madini zaidi ya nchi zote Africa lakini maskini wa kutupwa, raia wake wanalihama kuja kuwa omba omba Kenya.
daah ukweli mchungu huu umeamua kutu chana "live"
 
This is bullshit kila siku dar tu wakati huko vijini hata dispensary kuipata ni shida au watu wa huko sio raia na bado wanakuja kukusanya kura na kusepa. Hizi nchi za kiafrika shida tu.
 
It is against medical ethics kwa hospitali au daktari kujitangaza, ndio maana hujawahi kuona tangazo la hospitali au daktari yeyote tofauti na waganga wa kienyeji akina mwaka.
Hapana siyo kweli wao wanatakiwa kusema wagonjwa walio tibiwa siyo magonjwa waliyokuwa wanaumwa mfano ukisema Obama alitibiwa kwenye hospt yetu mwaka furani umefanya kosa gani

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom