Tanzania pamoja na nchi nyingine 8 imepokea msaada wa $10.8m kutoka TDF and the World Bank Group

Cc : Busu la Kenge Yahudi Shia Galatia Netanyahu worshipper pathetic Scumbabag Dujeumsaeng

sasa mnashangilia nini na kutukana nini? hizo zoote ni western institutions au mnafikiri wb ni communist au islamic? isitoshe sanctions ndiyo kwanza zimeanza..

andiko hilo la council on foreign relations khs hii regime, na kama ulikuwa haumjui council on foreign relations ni nini na how powerful it is basi jielimisheni tena, hao ndiyo wenye dunia na ndio wanaoamua, hali siyo nzuri na hii regime hata kama mko in denial ...

Hii USD 10.8 ambayo ni sawa na Shilingi 27,000 za kitanzania si hata mimi ningewapatia bure!

IMG-20251128-WA0007.jpg
 
Mfuko wa Biashara na Maendeleo (TDF) na Group ya Benki ya Dunia wameingia makubaliano matano ya msaada yenye thamani ya dola milioni 10.8 kwa ajili ya programu ya ASCENT.

Programu hii itatoa mifumo ya kupikia safi na nishati ya jua kwa zaidi ya 350,000 kwa watu milioni 1.8 katika nchi nane za Afrika, ikiwa ni pamoja na Tanzania, Kenya, na Uganda.

Msaada huu utatolewa kupitia mfumo wa ufadhili wa matokeo wa TDB Group, ambao unalenga kuhamasisha sekta binafsi katika utekelezaji wa suluhisho za nishati. Huu ni mchango mkubwa katika kupunguza upungufu wa nishati unaozikumba sehemu nyingi za vijijini barani Afrika.

========================

Africa continues to face a severe energy deficit, particularly in rural areas where decentralized solutions remain essential. However, the rollout of these solutions depends on financing models that can support companies operating at scales adapted to local realities.

The Trade and Development Fund (TDF), a member of TDB Group, and the World Bank Group announced on Monday, 24 November, that they signed five grant agreements totaling $10.8 million under the ASCENT program.

According to the statement, the financing will support access to clean-cooking technologies and distributed solar solutions in eight African countries: the Democratic Republic of Congo, Kenya, Madagascar, Malawi, Mozambique, Rwanda, Tanzania, and Zambia.

TDB Group will channel the grants through its results-based financing mechanism, which provides payments to private companies based on the number of systems effectively deployed and commissioned.

The program expects to fund the installation of over 350,000 systems, including home solar kits, clean-cooking stoves, and other distributed renewable-energy technologies. The initiative should reach around 1.8 million beneficiaries.

Source: Ecofinagency
Endeleza uchawa mtajua hamjui
 
Twende kwa hesabu mifumo 350,000 kwa watu 1.8M katika nchi nane za Afrika,Sasa hapo Tanzania tutapata mifumo mingapi?
Hata kama mifumo yote tungepewa Tanzania ingekuwa sawa na asilimia ngapi ya watanzania wangefaidika na mifumo hiyo?
Msaada huo nao wa kujisifia?
Ukishindwa nicheki nije kumalizia hiyo hesabu ya darasa la nne.
😀😀😀😀😀
 
Ndugu hiyo ni kwa nchi nane....27,000 ÷ 8 =
😀😀😀 kuimbe ni Shilingi 3,374 tu!

Alafu na kama Ikiwa na milioni USD 10.8 mbona ni pesa ndogo sana.

Yaani Tanzania tumepokea Shilingi 3.125 bilioni.

Huyu aliyeanzisha thread 😭😭😭😭
 
Kila nusu saa thread mpya kujaribu kuonyesha serikali haramu haijatengwa kupewa misaada, unakaribia kuokota makopo usipokuwa makini. Huwezi kuukwepa ukweli, bibi yako kashaharibu na kuchomoa kesi hii ni ngumu sana. Mnazuga mtandaoni ila kiuhalisia hali sio shwari kwako na genge lenu ndo sababu unaanzisha thread kila dakika 5.

Kama wamelenga hilo, basi ni wapumb.avu wa kiwango cha ajabu.

Hiyo dola milipn 10 haijapewa Serikali ya Tanzania. Yatapeqa makampuni binafsi yanayojishughulisha na maduala ya nishati. Mleta mada naye ni mjinga, ameshindwa kuweka kichwa cha habari kwa namna iliyo sahihi.
 
Unataka kujitungia habari sio
 
Back
Top Bottom