Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
BTW si tatu tu! ziko zaidi ya tano zimeanguka!Maelezo mazuri na picha nzuri but ufanisi hakuna
Katika historians ya majeshi ya Polisi Kenya imevunja rekodi ya kupoteza askari 40 katika ambush moja ya qualify.Poor intelligence
Used Chopper 3 mlizonunua kwaajili ya Police air wing Geza kawaonyesha video zake zimeanguka kwa kukosa matengezo na matunzo hafifu kwa rubani
Mngekumbana na Uhalifu kama wa Kibiti au Mapango ya Amboni Tanga mngepata tabu sana
Kinachowaangusha ni kakosa nidhamu ya kazi na poor intelligence
Mkuu, ishu ni kila type ya walio nayo Kenya na Tanzania wawe nayo au? Kama ni helicopter tu, polisi ya tz pia inazo!
Inaonyesha internal Security yenu ipo mashakani sana au mfumo wenu kiulinzi sio madhubuti
Pia having many assets with no plans for the same is an unnecessary expense
Habari ya 2016, tuko 2020 bana!
At least 3, moja ikifanya patrol , ingine iko stand by. Na ya tatu kuangalia ukulima wa Korosho mikoani huko Morogoro
Huu ni msaada wamepewa na US ili kupambana na Al shabaabKenya Police Air-wing, based at Wilson Airport
View attachment 1444730
View attachment 1444763
View attachment 1444732
View attachment 1444736
View attachment 1444737
View attachment 1444739
View attachment 1444740
View attachment 1444764
View attachment 1444744
View attachment 1444761
View attachment 1444762
View attachment 1444765
View attachment 1444766
Zipo zinakidhi mahitaji, sema kingine.
Tatizo lenu wakenya huwa mnadhani mko juu mno mkiiacha mbali Tanzania, msijidanganye kwa Hilo! Alishabaab mshawavulia chupi nchi nzima! They're fvcckng kunyaland Kama vile hakuna majeshi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa tunaongelea Polisi, sio jeshi,polisi wenu wako na kadege kamoja tu, alafu uko na nguvu za kusema wetu hawako sawa wakati wako na midege mingi.... Ndege kuanguka si dhihirisho kwamba polisi au jeshi au kampuni haiko sawa, Kujua hilo ni uangalie historia , ni ndege ngapi zimeanguka tangu waanze kufanya kazi alafu utafute % ya ndege kuanguka na zile hazikuanguka.
Apparently in Tanzania facts is bragging did not know that! Good to know.Mbona kujisifia kwingi lakini alshabab wakifanya yao wanafanya na kusepa.
Sent using Jamii Forums mobile app
I knew you would bring up baragoi which happened about 10 years ago! Those were new recruits and did not have battle experience ie. Baptism by fire, but also let them try that now. The upgrades to the police in kenya can match any army in the region.Maelezo mazuri na picha nzuri but ufanisi hakuna
Katika historians ya majeshi ya Polisi Kenya imevunja rekodi ya kupoteza askari 40 katika ambush moja ya qualify.Poor intelligence
Used Chopper 3 mlizonunua kwaajili ya Police air wing Geza kawaonyesha video zake zimeanguka kwa kukosa matengezo na matunzo hafifu kwa rubani
Mngekumbana na Uhalifu kama wa Kibiti au Mapango ya Amboni Tanga mngepata tabu sana
Kinachowaangusha ni kakosa nidhamu ya kazi na poor intelligence
They think Kenya police is trained to arrest and kill opposition party members like their police.You must be mad,poor training π?
The only equipment available to their "special unit" is a big log used to clobber opposition politicians senseless.
π€£π€£π€£,Zipo nyingi tuMkuu, ishu ni kila type ya walio nayo Kenya na Tanzania wawe nayo au? Kama ni helicopter tu, polisi ya tz pia inazo!
Nyie hamna lolote, kdf walisumbuliwa na al shabaab watatu tu hadi kdf wakaishia kuiba mikate, wale navy nao mbwembwe kibao mama wawatu na bint yake wakakaa kwenye maji wiki nzima, kwa mapichapicha mpo vizuri subiri utendaji sasaHiyo helicopter moja umepiga picha kutoka pande tatu? π π
I hope walijua difference Kati ya CCTV na picha..hahaa
My relative works in the airwing, he can fly 4 different types of choppers, bell, leornado, Airbus and Mi-17, including some fixed wing aircrafts all at the expense of the government, imagine getting all those aircraft rating,hatawaii kosa job ata akitoka the forceThey think Kenya police is trained to arrest and kill opposition party members like their police.