Tanzania Ports lead on having state of the art CARGO SCANNERS in East Africa

Wap ule utopolo wako wa ugaidi Mtwara? I thought u were different from fellow Kenyans but u r different kuweka news za uongo za Ugaidi Mtwara! Shame on u!
Wametoa. Sijui kwa nini. Leta ushahidi kwamba ni uongo. Nimeitoa youtube kwenye channel ya TZ.
 
Wap ule utopolo wako wa ugaidi Mtwara? I thought u were different from fellow Kenyans but u r different kuweka news za uongo za Ugaidi Mtwara! Shame on u!
Magaidi wawili wanfukuza jeshi nzima ya Tanzania 😂 😂 😂
 
It's written BBC why don't u get from BBC itself an authentic source?
Geza hata kama mnajaribu kukataa na kuficha mambo za ugaidi mnafanya tu zero work cause they will come back again and hit very hard that the entire planet will know what`s going on. Terrorists are very dangerous people once they set their eyes to a certain target, they will always come back and hit at an unexpected time. Hile ya September that left 20 soldiers dead mlikataa kuwa haikufanyika, ndiyo hiyo juzi tena wameattack tena ndani ya Tanzania territory. Next they will hit Dar, mark my word and there is no way your government will deny that.
 
Hizi tactics za Jiwe za kunyamazisha wanahabari zimewapumbaza watz kisiasa ila ikifika kwa haya masuala ya ugaidi atachemsha sana. Kuna hadi video ya hao magaidi wakimnyofoa kichwa kijana wa JWTZ alafu wakaamrisha kitupwe barabarani.
 
Alafu huwa nashangaa sana nikiona Geza hataki tuongelee ugaidi ikifika ni upande wa Tanzania wakati yeye alikuwa anafungua hapa nyuzi kama ishirini kama Kenya ndio wako kwa recieving end. Nishamwambia waombe tena sana hao magaidi wasieke Tanzania in their list of targets juu incase wapatekane kwa hiyo list hawataipenda.
 
Back
Top Bottom