Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,106
- 6,678
Thibitisha kuwa ile video ya mtu kukatwa kichwa ni Tanzania na yule aliekatwa kichwa ni askari wa jwtz
wale magaidi waliishia kufyatua risasi tu mpakani walichofanikiwa ni kupora picha ya mgombea wa CCM
wale magaidi waliishia kufyatua risasi tu mpakani walichofanikiwa ni kupora picha ya mgombea wa CCM
Hizi tactics za Jiwe za kunyamazisha wanahabari zimewapumbaza watz kisiasa ila ikifika kwa haya masuala ya ugaidi atachemsha sana. Kuna hadi video ya hao magaidi wakimnyofoa kichwa kijana wa JWTZ alafu wakaamrisha kitupwe barabarani.