Wametoa. Sijui kwa nini. Leta ushahidi kwamba ni uongo. Nimeitoa youtube kwenye channel ya TZ.Wap ule utopolo wako wa ugaidi Mtwara? I thought u were different from fellow Kenyans but u r different kuweka news za uongo za Ugaidi Mtwara! Shame on u!
Magaidi wawili wanfukuza jeshi nzima ya Tanzania π π πWap ule utopolo wako wa ugaidi Mtwara? I thought u were different from fellow Kenyans but u r different kuweka news za uongo za Ugaidi Mtwara! Shame on u!
Ni uongo YouTube any idiot can open an account and post anything to get clicks!Wametoa. Sijui kwa nini. Leta ushahidi kwamba ni uongo. Nimeitoa youtube kwenye channel ya TZ.
Sawa basi.Ni uongo YouTube any idiot can open an account and post anything to get clicks!
Vipi kuhusu habari kutoka BBC, SABC ya S.A na media za Mozambique. Kuna hadi taarifa za magaidi kutoka Mozambique wakijisifia kwa kutekeleza uovu huo. Tanzania border village attack leaves 20 dead - CHANNELAFRICANi uongo YouTube any idiot can open an account and post anything to get clicks!
It's written BBC why don't u get from BBC itself an authentic source?Vipi kuhusu habari kutoka BBC, SABC ya S.A na media za Mozambique. Kuna hadi taarifa za magaidi kutoka Mozambique wakijisifia kwa kutekeleza uovu huo. Tanzania border village attack leaves 20 dead - CHANNELAFRICA
Geza hata kama mnajaribu kukataa na kuficha mambo za ugaidi mnafanya tu zero work cause they will come back again and hit very hard that the entire planet will know what`s going on. Terrorists are very dangerous people once they set their eyes to a certain target, they will always come back and hit at an unexpected time. Hile ya September that left 20 soldiers dead mlikataa kuwa haikufanyika, ndiyo hiyo juzi tena wameattack tena ndani ya Tanzania territory. Next they will hit Dar, mark my word and there is no way your government will deny that.It's written BBC why don't u get from BBC itself an authentic source?
Bofya hapaIt's written BBC why don't u get from BBC itself an authentic source?
Report reports a report!Bofya hapa
usikize ripoti yenyewe kwenye program ya BBC Focus on Africa. BBC World Service - Focus on Africa, Tanzania border village attack 'leaves 20 dead'
Yaani .. CCM inaficha hadi terrorist attacks kama ilivyo ficha corona.. thank heavens I was born in kenya.Bofya hapa
usikize ripoti yenyewe kwenye program ya BBC Focus on Africa. BBC World Service - Focus on Africa, Tanzania border village attack 'leaves 20 dead'
Hizi tactics za Jiwe za kunyamazisha wanahabari zimewapumbaza watz kisiasa ila ikifika kwa haya masuala ya ugaidi atachemsha sana. Kuna hadi video ya hao magaidi wakimnyofoa kichwa kijana wa JWTZ alafu wakaamrisha kitupwe barabarani.Geza hata kama mnajaribu kukataa na kuficha mambo za ugaidi mnafanya tu zero work cause they will come back again and hit very hard that the entire planet will know what`s going on. Terrorists are very dangerous people once they set their eyes to a certain target, they will always come back and hit at an unexpected time. Hile ya September that left 20 soldiers dead mlikataa kuwa haikufanyika, ndiyo hiyo juzi tena wameattack tena ndani ya Tanzania territory. Next they will hit Dar, mark my word and there is no way your government will deny that.
What do you mean? Umeitisha ripoti original ya BBC ambayo SABC wameinukuu. Ndio hiyo hapo.Report reports a report!
Kutawala maiti ni raha sana. πYaani .. CCM inaficha hadi terrorist attacks kama ilivyo ficha corona.. thank heavens I was born in kenya.
Alafu huwa nashangaa sana nikiona Geza hataki tuongelee ugaidi ikifika ni upande wa Tanzania wakati yeye alikuwa anafungua hapa nyuzi kama ishirini kama Kenya ndio wako kwa recieving end. Nishamwambia waombe tena sana hao magaidi wasieke Tanzania in their list of targets juu incase wapatekane kwa hiyo list hawataipenda.Hizi tactics za Jiwe za kunyamazisha wanahabari zimewapumbaza watz kisiasa ila ikifika kwa haya masuala ya ugaidi atachemsha sana. Kuna hadi video ya hao magaidi wakimnyofoa kichwa kijana wa JWTZ alafu wakaamrisha kitupwe barabarani.
Yaani BBC using an individual "Obenmeyer/Obenmeier/Oppenheimer" in SA as a source? Where r the footages?What do you mean? Umeitisha ripoti original ya BBC ambayo SABC wameinukuu. Ndio hiyo hapo.
Report reports a report!
Channel ngapi za Kenya zinasema urongo.Wametoa. Sijui kwa nini. Leta ushahidi kwamba ni uongo. Nimeitoa youtube kwenye channel ya TZ.
πππYaani BBC using an individual "Obenmeyer/Obenmeier/Oppenheimer" in SA as a source? Where r the footages?
It's written BBC why don't u get from BBC itself an authentic source?
Yaani BBC using an individual "Obenmeyer/Obenmeier/Oppenheimer" in SA as a source? Where r the footages?