Hizi tactics za Jiwe za kunyamazisha wanahabari zimewapumbaza watz kisiasa ila ikifika kwa haya masuala ya ugaidi atachemsha sana. Kuna hadi video ya hao magaidi wakimnyofoa kichwa kijana wa JWTZ alafu wakaamrisha kitupwe barabarani.
Geza hawezi kubali kuwa nchi yake imepigwa na magaidi. Anasema ati huyo Mbunge Namchuma anadanganya. Afadhali niamini huyo mbunge kushinda kuamini Geza.