Hahahaaa. Sinaga hizo bana Mkuu.Hajar huwa akai mbali na yanga cjui leo kaenda wapi?... Atakuja wakipiga goli
Mmmh. Mbona Watani zangu mnaisemeaga sana hiyo ya Mkoani?Bado hawajaanza kwenda mikoani wanapata tabu namna hii je wakianza kwenda si itakuwa mboko mfululizo
πππππ Mtani naona hukubanduka. Lol.80' KMC 0-0 Yanga uwanja wa Taifa
Watu wamekutag hadi wamejichokea, ndio umekuja leo Dada yangu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mtani kama nakuona ulivyonuna hapo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmh. Hata weweeee Mtoto. π³π³Na iishe hivi
Haitokaa itokeeMmh. Hata weweeee Mtoto. [emoji15][emoji15]
Hebu hamia Yanga. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
πππππ ndani ya dk 4 kutoka hapa Yanga akabadilisha sura yako Mtani.85' Kwa mtanange wa TPL uwanja wa Taifa KMC 0-0 Yanga
πππππππ Hatari.87' Yanga wanapata faulo kuelekea lango la KMC
89' Fei Toto anapiga Gooooo gooooal KMC 0-1 Yanga SC
ππππππ poleni sana Watani zanguSasa ndiyo wanarudi
πππ ila Mtani mlijua kuongea wenyewe banaaa.Wakuu mnaoangalia mechi mnaonaje tunaweza kushinda kweli leo π
ππππππ aiseeeeeeeeeeee.Hongereni wanayanga ligi bado mbichi
ππππ kama nakuona ulivyoumia Mtani.Chura wamepata goli
Inaelekea ulikuwa mbali sana, maana post za jana unazijibu asubuhi hii kwa kasi kama yotePoleni Watani zangu.
πππππ Mtaa wa pili Kimyaaaaaaa. πππππYanga goal
Mkude alichomzidi fei toto ni nywele na dread tu
Ahsante Mtani maana ulijitahidi kutuletea updates ambazo najua zimekujia tofauti na mategemeo yako. πππππWakati wowote mpira utamalizika...Naaaam mpira umekwisha ambapo Yanga wameibuka kwa ushindi bao moja dhidi ya KMC
Ghazwat....
Hahahaaa. Nakazia Mdogo wangu.Hahahahahhaaaaa koma ukomaee @hajar
Waambie hao Mkuu. πππMpira ni dakika 90+ ko mda wa kufunga ulikuwa bado.
Hahahaaa. Akikujibu nitag Mpwa.Sijui unahali gani huko
Hahahaaa. Upo shoga?Asante hahahhahaha