Hahahaaa. Utani wa ngumi huu.Walio jirani yake wakimwangalia macho lazima yatakuwa mekundu
πππππ sitaki mieeee.Hata kuharisha atakuwa ameharisha
ππππ nimecheka kwa sauti Mkuu.Unaangalia Mechi ya @YoungAfricansSC na KMC unaombea matokea ya sare unabana vidole na sehemu nyingine za mwili, Feisal anapachika bao dakika ya mwisho...Unapata PRESHA...UNAKUFA...
Achana nae huyo.. shabik maandazKwenye mechi ya Simba na Yanga juzi huyo Fei Toto alikuwepo? Katikati nilikuwa namuona Mkude tu
Mdogo wangu wajua tena mpira unaanza ile mida ambayo nakuwa nishatoka huku niki busy na mambo mengine.Watu wamekutag hadi wamejichokea, ndio umekuja leo Dada yangu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
πππππ wapenda presha zisizokwisha eeee?Haitokaa itokee
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapenda presha zisizokwisha eeee?
Ahaaa, sawa.Mdogo wangu wajua tena mpira unaanza ile mida ambayo nakuwa nishatoka huku niki busy na mambo mengine.
Ila wamenyweea bana. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Acha tu Mkuu mpira ulianza mida ambayo huwa nakuwa busy na mambo mengine ndio maana post naziona sasa.Inaelekea ulikuwa mbali sana, maana post za jana unazijibu asubuhi hii kwa kasi kama yote
Cheka tu. πππ[emoji3][emoji3]
Oooh. Hutaki kulia lia na timu zetu eeee.Ahaaa, sawa.
Haya bana tambieni tu ninyi washabiki, mimi nasubiri 2022 Mungu akipenda, nije nimuone Mbampe tena
Hata za EPL, UEFA na zinginezo nishaacha.Oooh. Hutaki kulia lia na timu zetu eeee.
Haya bana mdogo wangu.
Uwiiii. Mdogo wangu mona wapitwa sana aiseeee.Hata za EPL, UEFA na zinginezo nishaacha.
Imebaki FIFA World Cup na AFCON mwakani tu.
Kwa taabu sana janaHahahaaaa. ππππππ
Hata sijui kwa nini najikuta sina mood na ushabiki wa mpira kabisa.Uwiiii. Mdogo wangu mona wapitwa sana aiseeee.
Au umehamia kwenye NBA nini? [emoji12][emoji12][emoji12]
Hahaha aisee kwa mbinde kweli kweliUliisha moja kwa bila.
πππππ
Hahahaa. Nilikuwa naskilizia likes zako je utaandika nini hatimaye umepata cha kuandika Mtani. ππππKwa taabu sana jana
Nipo mpenzi nimejaa teleHahahaaa. Upo shoga?
Duuh! Mdogi wangu sa sijui nikupe pole au hongera maana ushabiki una raha na saa nyingine una karaha.Hata sijui kwa nini najikuta sina mopd na ushabiki wa mpira kabisa.
Zamani nilikuwa mshabiki wa kutukuka sana hasa timu za Ulaya.
Enzi za Drogba, Adebayor, E'too,(naona wakaribia kutundika ndaluga) na manguli kibao wa Ulaya na America nilikiwa nawashabikia sana.
Hahahaaa. Ila mwisho wa siku point 3 zimekuwa zetu mtani.Hahaha aisee kwa mbinde kweli kweli