Ooh. Nimefurahi kukuona mwaya.Nipo mpenzi nimejaa tele
Waambie hao Team ChuraaHahahaaa. Ila mwisho wa siku point 3 zimekuwa zetu mtani.
Ashukuriwe fei totoOoh. Nimefurahi kukuona mwaya.
Ila walituombea njaa sana mikia jana.
Tabu ya nini sasa kama mashabiki wa Arsenal ambao miili yao ina alternate.Duuh! Mdogi wangu sa sijui nikupe pole au hongera maana ushabiki una raha na saa nyingine una karaha.
Ila ulipoamua kujiweka sio pabaya pia. Yaani huna presha za hovyo hovyo. [emoji23][emoji23]
Hahahaaaaa. Lol.Waambie hao Team Churaa
Hahahaaaa. Kabisaaaa.Ashukuriwe fei toto
Hahaaaa. Wale ndio kazi wanayo japokuwa mashabiki wengi wamepunguza ushabiki kwa timu yao sababu ya roho zao kuwekwa juu kila wakicheza.Tabu ya nini sasa kama mashabiki wa Arsenal ambao miili hao ina alternate.
Msimu wa ligi wanakonda, msimu ukiisha wananenepa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Arsenal ilikuwa ya akina Thiery Henry, Adebayor, Bacary Sagna, et al.Hahaaaa. Wale ndio kazi wanayo japokuwa mashabiki wengi wamepunguza ushabiki kwa timu yao sababu ya roho zao kuwekwa juu kila wakicheza.
Ka goli kenyewe kajioooni kwelikweli, sijui muamala ulitumika baada ya kuona kuna kuchwa na dalili ya ushindi hakunaπππHahahaaa. Poleni sana Watani zangu naona mlijaaa kutuombea njaa mwisho wa siku matokeo yakaja kinyume. πππππ
Na bado mdogo mdogo mpaka kieleweke. ππππ
Mtani bikra yenu mmejitahid kuitunza sana,.. Ila atakae bahatika kuitoa ataweka na mimba kabisaHahahaaa. Ila mwisho wa siku point 3 zimekuwa zetu mtani.
Sawasawa endeleeni kupata point 3 mtani kwa ushindi wa goli 1 acha sisi tuendelee kushushia watu GHARIKA kali la maangamiziHahahaaa. Ila mwisho wa siku point 3 zimekuwa zetu mtani.
Hahahaaa. Sie wamabakuli Muamala tunautoa wapi Sesten.Ka goli kenyewe kajioooni kwelikweli, sijui muamala ulitumika baada ya kuona kuna kuchwa na dalili ya ushindi hakunaπππ
Hahahaaaa. Jamaaani lol. πππMtani bikra yenu mmejitahid kuitunza sana,.. Ila atakae bahatika kuitoa ataweka na mimba kabisa
Mmh mbona sisi tumefurahi tu kuona angalau mnapata cha kuongeaHahahaaaaa. Lol.
Kama nawaona walivyonuna. πππ
Hahahaaa. Sidhani kama inaweza jirudia hiyo Gharika Mtani.Sawasawa endeleeni kupata point 3 mtani kwa ushindi wa goli 1 acha sisi tuendelee kushushia watu GHARIKA kali la maangamizi
Halafu Hajar kwa timu mlokua nayo kweli mkikutana na watu wanaocheza mpira haswaa tena uwanja wa ugenini mtatoboa kweli?Hahahaaa. Sie wamabakuli Muamala tunautoa wapi Sesten.
πππ mpira tu ule Sesten. ππππ
Aah Wappi. Ndio maana mlipotea ghafla yaani baada ya goli tu na uzi ukafikia mwisho. πππMmh mbona sisi tumefurahi tu kuona angalau mnapata cha kuongea
Kwani huyo mkude alifanya nini cha ajabu? Si mngeshinda?Kwenye mechi ya Simba na Yanga juzi huyo Fei Toto alikuwepo? Katikati nilikuwa namuona Mkude tu
Timu inayocheza mpira kama ipi Sesten sema tu.Halafu Hajar kwa timu mlokua nayo kweli mkikutana na watu wanaocheza mpira haswaa tena uwanja wa ugenini mtatoboa kweli?
Najua utaogopa kusema ukweli hapa mbele ya kadamnasi basi hebu ninongo'neze ukweli wako unavoamini katika moyo na nafsi yako
Au unaamini hivohivo hadharani na sirini?π