Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Ni mpera mpera wakicheza na yanga ila wakijua tunacheza na MNYAMA basi tayariiiii............ ...Hahahaaa. Sidhani kama inaweza jirudia hiyo Gharika Mtani.
Maana timu kama Allience zinahesabika na zilizo nyingi mwendo wao ni mpera mpera kama jana KMC.
Hahahaaaa. Hatimaye umeandika Mtani ππHatukuombei njaa. Kadri ligi inavyozidi kusonga mbele ndipo makali yako yanapungua jiandae kisaikolojia mtani..[emoji3][emoji3]
ππππ DuuhKwani huyo mkude alifanya nini cha ajabu? Si mngeshinda?
Wanatutisha mkude wakati hawakushinda. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Duuh
Huku kwetu kwenye kibanda umiza baada ya Yanga kupata hili goli washabiki wenzio wa mikia wakang'oa mabenchi yote!87' Yanga wanapata faulo kuelekea lango la KMC
89' Fei Toto anapiga Gooooo gooooal KMC 0-1 Yanga SC
Atapitia njia ipi? Mwenye nafasi yake karudi nyie mliazimwa tu mwaka jana.Endelea kucheka. Lakini yajayo yatakukera mno kwa vile mwenye nafasi yake anakuja hivi punde..SimbaNguvuMoja
Sio rahisi hivyo Mtani sababu mpaka sasa sioni dalili za kuwepo kwenye hiyo nafasi yako kwani Azam anakuja Moto nayeee.Endelea kucheka. Lakini yajayo yatakukera mno kwa vile mwenye nafasi yake anakuja hivi punde..SimbaNguvuMoja
Hahahaaa. Ndio hapo sasa.Wanatutisha mkude wakati hawakushinda. [emoji23][emoji23]
Wacha wanune tu cha muhimu point 3Hahahaaaaa. Lol.
Kama nawaona walivyonuna. [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani pamoja na hiyo shukrani huachi vijembe..Nilikuwa makini ndo maana hakuna niliposema unapoteza mchezo huoAhsante Mtani maana ulijitahidi kutuletea updates ambazo najua zimekujia tofauti na mategemeo yako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kitaeleweka tu mwaka huu Mtani.
Hahahaaa. Lol.Atapitia njia ipi? Mwenye nafasi yake karudi nyie mliazimwa tu mwaka jana.
Nimecheka huo wimbo aisee, ama kweli ushindi unalewesha...katimu kenye hako ka KMC kampya halafu kanawatoa jasho, tuombe uzima tu kutoka kwa Maulana maana baadae huko mtakuja na kilio hapa ooh Simba sijui wanapitisha miamala Yanga ipoteze mechi sijui nini, yaani keleeele moja kwa moja, yetu machoTimu inayocheza mpira kama ipi Sesten sema tu.
Naamini hivyo pote pote Sesten. ππππππ
π΅π΅π΅Kwani wao waweze wana nini na sisi tushindwe tuna nini π΅π΅π΅ naimba tu Seten.
HAHAHAAA. Ndio utani wa jadi bana huo Mtani. πππ usichukie.Yaani pamoja na hiyo shukrani huachi vijembe..
Nimeona Mtani ulijua kujiongeza. ππNilikuwa makini ndo maana hakuna niliposema unapoteza mchezo huo
Nilisema KMC watapoteza kwa kukosa uzoefu na kilichotokea mtani
Lakini nikwambia mtani mpira wako ni kawaida sana[emoji3][emoji3][emoji3]
Amiin Insha Allah. πππAsante na wewe ubarikiwe sana..! Pamoja na timu mzima ya JF
Hahaaa. Kabisaaaa.Wacha wanune tu cha muhimu point 3
Hahahaa. Ila mnajuaga kutuombea njaa bana. Maana wengi wenu lile goli liliwachukiza hatari.
CC. sembo
Hahaha.. Mtani, mpaka sasa siamini kilichotokea. Kaseja tunaomjua sisi, si wakufungwa goli la kizembe vile.Hahahaaa. [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Mtani wajua tena majukumu + mihangaiko ni ngumu kuingia humu usiku banaaa.
Mie naanzaje kukimbia jamaani. Hizi za kuja ubao ukibadilika anazo sembo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HAHAHAAA. Ndio utani wa jadi bana huo Mtani. [emoji12][emoji12][emoji12] [emoji3][emoji3]
Hivyo ulijua KMC hawatatoka eeee. Unadhani nakataa Mtani mpira ni wa kawaida ndio ila matokeo yanapatikana Mtani.