Tanzania Premier League, KMC Vs Yanga Uwanja wa Taifa

Ukiangalia quality za central strikers waliopita yanga miaka ya hivi karibuni kama Kiiza,Ngoma,Tambwe(sio huyu wa sasa) nk utagungua kuwa kuna gap kubwa la uwezo kati yao na huyu Makambo.Makambo ameikuta Yanga ipo kwenye crisis na ndomana anaanza na anaimbwa sana na mashabiki lakini kiuwezo sio mshambuliaji wa caribre ya timu kama Yanga.Ni mshambuliaji average sana chini kiuwezo kwa Lyanga,Kiyombo,Ambokile,Kutinyo nk.Hapo sijawataja akina Ngoma ,Okwi, Kagere ,Boko nk ambao huwezi hata kuwalinganisha nae.Wamemzidi sana kiuwezo.Anakosa vitu vingi sana ambavyo washambuliaji wanatakiwa kuwa navyo.Ni vile tu yanga ilikuwa vibaya sana ndomana wanaweza kumfanya mchezaji wa aina hii ni key player wa timu yao.But with time huyu mchezaji yanga wenyewe badae wataanza kuomba asicheze.....ni butu sana.Hara Salamba ni more clinical kuliko Makambo.Hata Mateo Anthony ni mzuri kwa huyu Makambo,basi tu.
Halafu mtu ameshaonyesha hana jipya lakini kocha anamtoa Kaseke ambaye alikuwa anachezesha timu mbele pale Alitakiwa amtoe Makambo aingie Mateo.Halafu Pius Buswita yupo wapi nyie wanayanga?Mnamuhitaji sana jamaa hasa kwa mechi kama ya leo ambayo Ajibu hakuwepo.Kama kocha ana matatizo nae ni wakati wa kumsamehe na kuendelea mbele.Flopps kana Tambwe sio watu wa kucheza kabisa kwakweli.....
 
Hili povu siyo la nchi hii labda Nigeria! Ulicheza hata chandimu kweli? Siyo shabiki wa Yanga lakini kum underate Makambo kwa kiwango hicho utakuwa huitendei haki soka. Makambo ana kila kitu anachohtaji kuwa nacho striker, ana kasoro ndogo zinazosababishwa na kukosa miongozo sahihi.
 
Unaangalia Mechi ya @YoungAfricansSC na KMC unaombea matokea ya sare unabana vidole na sehemu nyingine za mwili, Feisal anapachika bao dakika ya mwisho..Unapata PRESHA...UNAKUFA...
 
Nilivoona quote yako mtu mzima nilitegemea zaidi ya hiki ulichoandika.Anyways....tupo pamoja mkuu
 
Hili povu siyo la nchi hii labda Nigeria! Ulicheza hata chandimu kweli? Siyo shabiki wa Yanga lakini kum underate Makambo kwa kiwango hicho utakuwa huitendei haki soka. Makambo ana kila kitu anachohtaji kuwa nacho striker, ana kasoro ndogo zinazosababishwa na kukosa miongozo sahihi.
Unamuangalia Makambo kishabiki mzee baba.
 
Back
Top Bottom