Tanzania Premier League: Kuna ulazima wa klabu moja wapo (Simba au Yanga) iondoke Dar na kuhamia Arusha au Mwanza ili kuongeza ladha ya mchezo wa soka

Unaelewa maana ya derby mkuu
Kwa uelewa wangu ni kwamba, Derby ni mechi inayohusisha timu mbili zinazotoka eneo moja kama vile Simba na Yanga. Kama sipo sahihi ninaomba unisahihishe mkuu.
 
chadema kwa mara nyingine sera na ilani walichopanga kusema tayari Samia ameshafanya na anatarajia kufanya makubwa zaidi.
 
Hoja zingine buana hata hazin kichwa wala miguu
Unajua mkuu, ukitoa sababu ya mada yangu kutokuwa na kichwa wala miguu unakuwa umenisaidia na kunisahihisha ili nisije kuandika tena jambo la hovyo/utumbo humu JF kuliko kunicheka tu bila kunikosoa kwa hoja. Unataka niendelee kuwa mjinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…