Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lipuli wametupa rahaNichukue nafasi kuwapongeza sana kwa sare na Wekudu wa Msimbazi. Pamoja na usajili wa kutisha lakini mmekomaa na hamkufungwa. HONGERENI SANA WANA IRINGA NA KOCHA WENU MATOLA
saanaLipuli wametupa raha
Ni suala LA muda tu, Mikia watakimbiana tu hakuna namnaLipuli wametupa raha
Ahsante kwa Matangazo yako ya Mpira ,hata mie huku porini nimepata Matokeo ,ubarikiwe sana90+5' Naaaaaaaam mpira umekwisha ambapo timu zote zimetoka bila kufungana
Simba SC 0-0 Lipuli FC
JF tumekuletea mtanange huu
Asanteni...Ghazwat
kamwene mwagitoWANAPALUENGO OYEEEE
LIPULI OYEE
TUENDELEE KUMUENZI CHIEF WETU MKWAWA
HahajahhaKama kawaida mnyama ananyonya damu mtu bila huruma. Karata ya leo inaonesha tunamzima lipuli kwa bao 4 bila kitu cha 4G
LIPUNYETOLIPULI
LIPULI A.K.A LIPUNYETO WAMEWAFANYA KAZI90+5' Naaaaaaaam mpira umekwisha ambapo timu zote zimetoka bila kufungana
Simba SC 0-0 Lipuli FC
JF tumekuletea mtanange huu
Asanteni...Ghazwat
Unoge be mwagitokamwene mwagito
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] hivi unadhani sonso pale lipuli kazi yake ni kupiga ramli eeeeeehKama kawaida mnyama ananyonya damu mtu bila huruma. Karata ya leo inaonesha tunamzima lipuli kwa bao 4 bila kitu cha 4G
Hao Mikia ni Mambumbumbu hawajitambuiHuyu ndio juzi mlimtukana Amunike Kwa nini hajampanga game ya Lesotho
Kwanza tutake radhi,inaitwa Yanga Yetu. Pili nikuulize vipi Amonike alikuwa sahihi siku ile kumweka Boko benchi na Lesotho?Balaa gani hii, mboni hawa Yanga yangu wanapata magoli mepesi tu.
Sisi tunafunga kibendela analigomea goli.
Yanga wanakubaliwa hata goli la offside.
Ndo imeamuliwa timu ya nyerere ishinde ?
Sasa hao memolodi itakuwaje kama timechemka kwa ka Lipuli ya shamba.
Boko anaonekana kabisa kufulia toka dakika ya kwanza, kocha anamuwacha tu.
Leo tumefungwa na John Bocco.
Bora Salamba kuliko Bocco.
Bocco ni butu kwa sasa
Walikuwa Bunju wanazindua Uwanja waoSimba leo walikuwa ugenini?
Bado,mpira unaenda DK 120Jamani vipi mpila umeisha?
Unaenda wapi?Bado,mpira unaenda DK 120