Tanzania Premier League: Simba SC 0 - 0 Lipuli FC zatoshana nguvu

Tanzania Premier League: Simba SC 0 - 0 Lipuli FC zatoshana nguvu

Kama kawaida mnyama ananyonya damu mtu bila huruma. Karata ya leo inaonesha tunamzima lipuli kwa bao 4 bila kitu cha 4G
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] hivi unadhani sonso pale lipuli kazi yake ni kupiga ramli eeeeeeh
 
Balaa gani hii, mboni hawa Yanga yangu wanapata magoli mepesi tu.
Sisi tunafunga kibendela analigomea goli.
Yanga wanakubaliwa hata goli la offside.
Ndo imeamuliwa timu ya nyerere ishinde ?
Sasa hao memolodi itakuwaje kama timechemka kwa ka Lipuli ya shamba.
Boko anaonekana kabisa kufulia toka dakika ya kwanza, kocha anamuwacha tu.
Leo tumefungwa na John Bocco.
Bora Salamba kuliko Bocco.
Bocco ni butu kwa sasa
Kwanza tutake radhi,inaitwa Yanga Yetu. Pili nikuulize vipi Amonike alikuwa sahihi siku ile kumweka Boko benchi na Lesotho?
 
Back
Top Bottom