Tanzania Premier League 'TPL' JKT Tanzania Vs Simba SC Uwanja wa Mkwakwani

Mikia kazi yenu kutanguliza ‘kitu kidogo’ tuu, bila hivyo nyie ni wazee wa vipigo tuu
 
MK14 ameshaandaa mazingira mazuri ya simba lunyasi kuondoka na points zote tatu hapa mkwakwani, simba mbili JKT Tanzania sufuri.
 
80' Ramadhan anaonyeshwa kadi ya njano kwa mchezo mbaya..

82' Mabadilko..MK 14 anakwenda benchi na anaingia Mzamiru Yassin Simba SC
 
89' Ali Shiboli anaonyeshwa kadi Nyekundu baada kupiga mwamuzi wa mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…