Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mnavyojifariji hivyo gongowazi.Mikia kazi yenu kutanguliza ‘kitu kidogo’ tuu, bila hivyo nyie ni wazee wa vipigo tuu
Ilikuwa iwe hat trick yake ya kwanza, lakini ya tatu kwenye ligi yetu hii baada ya kitenge wa stand United na Okwi wa simba lunyasi.48' Goo laaaaaa MK 14 anakosa bao la wazi baada ya piga nikupige lango la JKT
Ilikuwa hatari sana!

na wewe tanguliza, bakuli linawahusuMikia kazi yenu kutanguliza ‘kitu kidogo’ tuu, bila hivyo nyie ni wazee wa vipigo tuu
Nyie pesa za kutanguliza hamna? subirini game ijayo tuwatangulizie muamala kabisa vyura nyinyi!!Mikia kazi yenu kutanguliza ‘kitu kidogo’ tuu, bila hivyo nyie ni wazee wa vipigo tuu