Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushindi ni ushindi tu hata ukiwa mbelekoTehee tehee, ushindi wa magumashi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kila la kher jkt. simba anakwenda kuambulia sare kwa Mara nyingine tena
PoleKila la kher jkt. simba anakwenda kuambulia sare kwa Mara nyingine tena
Asante na kwako jamani90+3' Wakati wowote mpira utamalizika uwanja wa Mkwakwani
Naaaaaaaam mpira umekwisha ambapo Simba imeibuka kidedea kwa mabao mawili bila majibu dhidi ya JKT Tanzania
Mabao ya MK 14, Mfumba Jicho, Meddie Kagere dakika ya 11' 38..
JKT Tanzania 0-2 Simba SC
Timu mzima ya Jf tumekuletea
Asanteni....Ghazwat
te te te te te teeeeeeKocha wa simba ameshaanza kutoa sababu baada ya kuona atapoteza point leo.mashabiki tujiandae kisaikolojia tuView attachment 920127
Wouzerrrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Kwenye timu ya Taifa Stars,Simba ndio timu pekee yenye wachezaji 6,kwenye kila nafasi uwanjani.
Golikipa -Aishi Manula
Mabeki-Shomari Kapombe,Erasto Nyoni
Viungo-Jonas Mkude,Shiza Kichuya
Mshambuliaji-John Bocco.
Ushahidi wa timu iliyokamilika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kumbe ujaji wake ni alfajiri aliyenitekea ndugu yangu amuachie achie kidogoAtakuja alfajiri ndo style yake amevumbua mkuu...atakuja kujibu yote hayo
Ila Simba SC ni moto au unasemaje Shunie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kumbe ujaji wake ni alfajiri aliyenitekea ndugu yangu amuachie achie kidogo
Na tumechoka kila mtu anataka apige hatrick bola venyewe alikosa kagere maana upande wapili wangeona tunatumia dawaTena washinde kwa idadi wanaotaka maana tunachoka sasa kuhesabu mabao
Michezo miwili mabao kumi? Aaaaaah tunachoka vilivyo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Na tumechoka kila mtu anataka apige hatrick bola venyewe alikosa kagere maana upande wapili wangeona tunatumia dawa
Hahahaha akija alfajiri umpe salaam zangu tu lazima taarifa anazoNdio mkuu..Lakini taarifa kuwa Mfumba Jicho kafanya yake 2-0 amepata[emoji3][emoji3][emoji3]
Wapi timu SimbaNguvuMoja leo?
Anaekubishia ana matatizo kwani wanatandaza soka la uhakika hata my akioga kwenye 18 ni kona kwakuwa refa anashaga pasi za hatariKwa Simba hii hata ukihamisha "machinjio" haisaidii.Utafanikiwa tu kupunguza magoli.
Bado adhabu inawasubiri Uwanja Wa Taifa.