Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Chura hana kitu mkuu ni mweupe tu [emoji196] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Chura katoa droo taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chura hana kitu mkuu ni mweupe tu [emoji196] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Chura katoa droo taifa
Hahahaaa. Nilikuwa shamba mdogo wangu ndio naibuka hapa.
Dada wachaaaa. 💃💃💃💃Wouzeeer wouzeeer [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mmh.Naziona 5 nyingine leo.. Kila la heri Mnyama.
Nilikuwa mbali huko hakuna hata Mtandao.Ndugu yangu Hajar sijui katekwa wapi leo
🤣🤣🤣🤣🤣 lol.Atakuja alfajiri ndo style yake amevumbua mkuu...atakuja kujibu yote hayo
Ila Simba SC ni moto au unasemaje mkuu Shunie
MmmhhhNa tumechoka kila mtu anataka apige hatrick bola venyewe alikosa kagere maana upande wapili wangeona tunatumia dawa
Hahaha.. Naona tatizo la mtandao limeamia kwenu.. Poleni. Vipi matokeo ya mechi yenu na Ndada umeyapata?Nilikuwa mbali huko hakuna hata Mtandao.
Ila hongereni Dada. Nawaona mambo yenu tu.
Cc. sembo, Ghazwat na Sapta Sapta.
Hahahaaa. Nimekuja Dada.Hahahaha akija alfajiri umpe salaam zangu tu lazima taarifa anazo
Karibu sana Dada yanguHahahaaa. Nilikuwa shamba mdogo wangu ndio naibuka hapa.
Hahahaaaa. Nilikuwa mbali toka ijumaa sijatia maguu humu Mtani.Hahaha.. Naona tatizo la mtandao limeamia kwenu.. Poleni. Vipi matokeo ya mechi yenu na Ndada umeyapata?
Ahsante. Nawaona watani zangu meno 32 yote nje. 😂😂😂😂Karibu sana Dada yangu
Hahaha.. Sasa kama leo..Hahahaaaa. Nilikuwa mbali toka ijumaa sijatia maguu humu Mtani.
Nimeyapata Mtani ila si ndio soka?
Wanasema kawaida yao hiyoAhsante. Nawaona watani zangu meno 32 yote nje. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani nikajua umetekwa ujueNilikuwa mbali huko hakuna hata Mtandao.
Ila hongereni Dada. Nawaona mambo yenu tu.
Cc. sembo, Ghazwat na Sapta Sapta.
Sanaaa Dada akee achana na kagereHahahaaa. Nimekuja Dada.
Natumai una raha isiyo na kifani hapo. [emoji23][emoji23][emoji23]