Tanzania Premier League 'TPL' Ruvu Shooting Vs Simba SC, Uwanja wa Taifa

Hahaha.. Karibu sana Mkuu.
 
Kuna dalili ya Mpira kuwekwa kwapani muda si mrefu!
Mnafikiri yule "kocha"kupaki basi huku akiwa na mshambuliaji mmoja na mabeki 9 alikuwa mjinga???. Aliona gharika kwa mbali.Funguka kwa Simba ukomeshwe. Hivi hii timu ikikaa pamoja mwaka mmoja
watu wataingiza timu kweli????
 
Huwa hamkosi kuvunja viti uwanjani....ligi hii bado...Hakuna cha Mo effect wala nini...mambo bado moto...mtakutana na wananchi na ndipo mtasema mengi...
1. Katika mechi 2 tunagonga watu goli 10, mambo yanakuaje baridi??
2. Okwi mechi 2 goli 5 mambo yakuaje baridi??
3. Una supa sub kila akiingia katika dk 5 za mwisho anacheka na nyavu, mambo yakuaje baridi??
4. Wale majeruhi, Mkude na Dilunga wamepona kabisa, na wako tayari kuitumikia timu yao mda wowote, mambo yanakuaje baridi??

Kwa kifupu Mkuu.. Kwa sasa mambo ni moto.
 
Waliokua wanampa kichwa saivi hawapo wamejitenga kweli nimeamini patwa na tatizo ndo utamjua yupi rafiki yupi mnafki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…