Kingkorlar
JF-Expert Member
- Oct 16, 2018
- 875
- 995
Nakazia ndugu yangu. Waache walewe tu ila siku pombe zikiwaisha watatafutana.hongereni watani zetu mikia aka bungusiro kwa ushindi wa jana, lakini mkae na kutambua kwamba kwa msimu huu MUNGU wakwetu sote lakini kombe ni la YANGA
wale wapiga debe wa Masoud Juma wote kimya tena wengi walikuwa yangaHuu mfumo gani jamani mechi mbili goli 10 tukiendelea na huu mfumo tutabaki wenyewe ligi kuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hat trick kwa jana zipo nyingi sana, mtani labda kama hufuatilii mpira, na moja wapo ni hii ya ligi ya sweden allsvenskan.Hahaha.. Kama kuna hat-trick nyingine tuambie.
TANZANIA PREMIER LEAGU NI LA YANGA MSIMU HUUHahaha.. Mkuu unazungumzia kombe gani hilo? La uji au la chai?
Hatupoi hatuboi,mdogomdogo tu mtakubali mziki wetu. Kwanza nipokee pongezi zako huku nikikutahadharisha kua wenzio wakinyolewa na wewe nywele zako ziandae kwa kuzitia maji kabisaaNiwapongeze watani zangu wote ambao hamkubanduka kwenye huu uzi sababu mlijua timu mnayocheza nayo ni mchekea hivyo ushindi ni nje nje.
Najua ipo siku mtapotea hatutawaona hapa. Hongereni aiseee. Ila msijifananishe na Barcelona ile ni chama lingine kabisaaa yaani hamuifikii hata robo. Teh teh teh.
Cc. Sesten Zakazaka, sembo, Ghazwat, King Ngwaba , oscarsolomon, chaliifrancisco, Jungle Fighter, Otorong'ong'o bila kuwasahau Dada zangu watani aminas na Shunie.
Na msisahau ligi bado mbichi hii.
Hahaaaa. Bora umenijibia Mkuu maana kuiangalia Simba huku Barca basi Mtani ye ndio kamaliza ni hat - trick za dunia nzima. Lol.hat trick kwa jana zipo nyingi sana, mtani labda kama hufuatilii mpira, na moja wapo ni hii ya ligi ya sweden allsvenskan.
kati ya timu ya sirius na brommapojkarna, kuna mchezaji anaitwa, PHILIP HAGLUND, jana katupia hat_trick. unafuatilia mpira wa tanzania, spain na england then unajiita mshabik? nilichogundua mtani wewe ni shabiki mkia sio mshabiki soccer, aka shabiki maandazi[emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Niliskia tetesi kwamba morrinyo anamtaka manula ila uongozi wa simba ukakataa kumuuza
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu tunazungumzia mpira wa miguu usitutajie majina ya wacheza rede sisi hua hatufatilii michezo hiyo
Hahaha.. Sisi letu ni TANZANIA PREMIER LEAGUE.. Hilo TANZANIA PREMIER LEAGU tumewaachia.TANZANIA PREMIER LEAGU NI LA YANGA MSIMU HUU
Hahahaaa. Sawa Mtani.Nipo mkuu..Ndo maana wala sikuhangaika kukutafuta nilijua tu utafika asubuhi.
Yamkini umeshuhudia mtanange wa hatari..kumbuka timu zinazoburudisha ni Barcelona na Simba SC
Asubuhi njema mkuu
kuna mwandishi uchwara wa mwanaspoti alikuwa anamponda Okwi kuwa hawezi kushindana na kina Ambokile kwenye ufungaji Bora naona Okwi kaamua kumjibu kwa vitendo
Hahahaaa. Typing error bana hiyo Mtani acha kujitoa ufahamu.Hahaha.. Sisi letu ni TANZANIA PREMIER LEAGUE.. Hilo TANZANIA PREMIER LEAGU tumewaachia.
Hahaha.. Nikajua kuna kombe mnashiriki linaitwa hivyo.Hahahaaa. Typing error bana hiyo Mtani acha kujitoa ufahamu.