Tanzania Premier League 'TPL' Ruvu Shooting Vs Simba SC, Uwanja wa Taifa

Hahahaaa. Mdogo wangu huyo ni shabiki jina Shabiki wa kweli hawezi hama timu kirahisi hivyo.

Kama mie siwezi aiseee na haitakaa itokeee nihame chama langu Yanga.
Mtani unamkumbuka shabiki kindakindaki wa Yanga, Steve kulialia unajua sasa hivi anaishabikia timu gani?
Vipi kuhusu Kanjunju John, mshanyabiashara wa kariakoo, unajua sasa anashabikia timu gani??

Na hawa wote walihama timu zao, baada ya kipigo kitakatifu toka kwa Simba SC. Naamini hata wewe baada ya mechi yetu ya mzunguko wa 2, naamini tutakua wote Msimbazi.
 
Niwapongeze watani zangu wote ambao hamkubanduka kwenye huu uzi sababu mlijua timu mnayocheza nayo ni mchekea hivyo ushindi ni nje nje.

Najua ipo siku mtapotea hatutawaona hapa. Hongereni aiseee. Ila msijifananishe na Barcelona ile ni chama lingine kabisaaa yaani hamuifikii hata robo. Teh teh teh.

Cc. Sesten Zakazaka, sembo, Ghazwat, King Ngwaba , oscarsolomon, chaliifrancisco, Jungle Fighter, Otorong'ong'o bila kuwasahau Dada zangu watani aminas na Shunie.

Na msisahau ligi bado mbichi hii.
Hata usiponitaja najua unaniheshimu.
 
Mtani usihame chama lako ni udhaifu. Lakini unaruhusiwa kushabikia Simba ukiwa huko[emoji3][emoji3][emoji3]

Ukawa unatuletea habari za huko kama Mamluki wetu[emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaaaa. Ngumu kumesa hiyo Mtani.

Umamluki una wenyewe huo kila Masau Bwire. 😀😀😀😀 maana anajifanya tutawapapasa tutawapapasa kumbe uongo mtupu na yeye na umkia ndani yake lol.
 
Niwapongeze watani zangu wote ambao hamkubanduka kwenye huu uzi sababu mlijua timu mnayocheza nayo ni mchekea hivyo ushindi ni nje nje.

Najua ipo siku mtapotea hatutawaona hapa. Hongereni aiseee. Ila msijifananishe na Barcelona ile ni chama lingine kabisaaa yaani hamuifikii hata robo. Teh teh teh.

Cc. Sesten Zakazaka, sembo, Ghazwat, King Ngwaba , oscarsolomon, chaliifrancisco, Jungle Fighter, Otorong'ong'o bila kuwasahau Dada zangu watani aminas na Shunie.

Na msisahau ligi bado mbichi hii.
Hahaha kama ulijua kwanini ulikua mstari wambele kumsapot masau bwire jana
 
vpi mnajua mchezaji wenu aliyekaa simba miezi sita tu tena kwa mkopo na kucheza match saba jana katupia tena ubelgiji ?hahaha sipati picha kama mikia ndo wangekuwa african lyon.
Kweli umedhihirisha kwamba wewe ndio shabiki maandazi. TP Mazembe walimnunua SAMATTA kutoka African Lyon?
Alikuwa kwa mkopo?Je unaweza kumuuza mchezaji wa mkopo na anamilikiwa na timu nyingine?
Sasa hivi anzeni kuchanga tena.Kakolanya yupo Iringa kagoma hayalipwa mshahara miezi 2.
Waza kutembeza bakuli usaidie timu yako ilipe mishahara.
 
Mtani unamkumbuka shabiki kindakindaki wa Yanga, Steve kulialia unajua sasa hivi anaishabikia timu gani?
Vipi kuhusu Kanjunju John, mshanyabiashara wa kariakoo, unajua sasa anashabikia timu gani??

Na hawa wote walihama timu zao, baada ya kipigo kitakatifu toka kwa Simba SC. Naamini hata wewe baada ya mechi yetu ya mzunguko wa 2, naamini tutakua wote Msimbazi.
Hahahaaa. Kama huyo Steve lialia ni maslahi ndio yalimuamisha + njaa zake basi ndio moyo wake wote akajilazimisha kuuhamisha.

Mmmh. Sababu sio kile kipigo bana Mtani. Na ingekuwa hivyo tungehama wengi aiseee. Walikuwa na sababu zao hao.
 
Hahaha kama ulijua kwanini ulikua mstari wambele kumsapot masau bwire jana
Hahahahaaaaa. Haijawahi tokea mwana Yanga akaishangilia Simba hata iweje Mkuu.

Hivyo kila mtakapokuwepo basi lazima tuwe against tu Mtani. Hahahaaa. Yaani hata mkicheza na Alliance tutakuwa huko huko licha ya kuwa mtashinda. 😀😀😀😀
 
Kweli umedhihirisha kwamba wewe ndio shabiki maandazi. TP Mazembe walimnunua SAMATTA kutoka African Lyon?
Alikuwa kwa mkopo?Je unaweza kumuuza mchezaji wa mkopo na anamilikiwa na timu nyingine?
Sasa hivi anzeni kuchanga tena.Kakolanya yupo Iringa kagoma hayalipwa mshahara miezi 2.
Waza kutembeza bakuli usaidie timu yako ilipe mishahara.
povu povu mkuu waambie bungusiro fc wenzio wenye uelewa kidogo wakusaidie sio umekula ndondo lako huko uje kutuharibia hali ya hewa humu[emoji242] [emoji242] [emoji242] mkia[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Yebo Yebo changeni Kakolanya kagoma yupo Iringa hajalipwa mishahara ya miezi 2.
Wacheni mabingwa wafanye yao.
Bakuli limeanza.
Umeleta uzushi kuhusu Samatta umejibiwa umefunga domo.
 
Back
Top Bottom