Tanzania Premier League 'TPL' Ruvu Shooting Vs Simba SC, Uwanja wa Taifa

Tanzania Premier League 'TPL' Ruvu Shooting Vs Simba SC, Uwanja wa Taifa

Hahahahaaaaa. Haijawahi tokea mwana Yanga akaishangilia Simba hata iweje Mkuu.

Hivyo kila mtakapokuwepo basi lazima tuwe against tu Mtani. Hahahaaa. Yaani hata mkicheza na Alliance tutakuwa huko huko licha ya kuwa mtashinda. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kile kipigo cha jana kinaitwa nje ndani yani sio ruvu tu hadi nyie wayanga mmeuzunika
 
Yebo Yebo changeni Kakolanya kagoma yupo Iringa hajalipwa mishahara ya miezi 2.
Wacheni mabingwa wafanye yao.
Bakuli limeanza.
Umeleta uzushi kuhusu Samatta umejibiwa umefunga domo.
Hahahaaa upande wa pili kazi imeanza kutembeza bakuli
 
Back
Top Bottom