Tanzania Premier League 'TPL' Ruvu Shooting Vs Simba SC, Uwanja wa Taifa

Tanzania Premier League 'TPL' Ruvu Shooting Vs Simba SC, Uwanja wa Taifa

Hahahaaaa. Haitokaa itokee mfanane na Barcelona Mtani.

Ikiwa nyie mnajiweka level hizo kina esperance, Al Ahaly, Setif , etoile du sahel, Tp Mazembe wajiweke level zipi?
Unavyo zungumzia barcelona una wachanganya wadau ujue barcelona ziko mbili nivizuri uwe unatoa ufafanuzi vizuri kila mtu aweze kukuelewa hoja yako kua unazungumzia barcelona ipi
 
Unavyo zungumzia barcelona una wachanganya wadau ujue barcelona ziko mbili nivizuri uwe unatoa ufafanuzi vizuri kila mtu aweze kukuelewa hoja yako kua unazungumzia barcelona ipi
Hahahaaa. Ila mnanichekesha sana nyie watani zangu.

Barcelona mbili ipi na ipi Mtani?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio hivyo Dada yangu, hatutaki shida ya kuokoa wakati tahadhari inawezekana
😂😂😂😂 ngumu kumesa sana hiyo mdogo wangu.
 
Hahahaaa. Mie ni kesho Mtani ila mjiandae kunichangia maana ntampitishia kila mmoja wenu na najua kwa raha mliyonayo ya ushindi wa jana basi mtachanga tu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msaada utapewa tatizo mtani una jeuri
 
Kwani barcelona gani yenyewe ilicheza jana ikampiga mtu 5?
😂😂😂😂😂 hii naiita Swali juu ya Swali Mtani ; tuseme tu mlikuwa na mfanano wa ushindi na si kwa vitu vingine ndio sababu hata Barcelona goli zao zilikuwa nzuri na za kiwango cha juu tofauti na nyie labda ile penalti ya suarez ndio naeza iita haikuwa bomba sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii naiita Swali juu ya Swali Mtani ; tuseme tu mlikuwa na mfanano wa ushindi na si kwa vitu vingine ndio sababu hata Barcelona goli zao zilikuwa nzuri na za kiwango cha juu tofauti na nyie labda ile penalti ya suarez ndio naeza iita haikuwa bomba sana
Hahaahaaa taratibu umeanza kuelewa ni barcelona gani nayo izungumzia
 
Back
Top Bottom