Tanzania Premier League 'TPL' Ruvu Shooting Vs Simba SC, Uwanja wa Taifa

Tanzania Premier League 'TPL' Ruvu Shooting Vs Simba SC, Uwanja wa Taifa

Hahaha.. Kama kuna hat-trick nyingine tuambie.
hat trick kwa jana zipo nyingi sana, mtani labda kama hufuatilii mpira, na moja wapo ni hii ya ligi ya sweden allsvenskan.
kati ya timu ya sirius na brommapojkarna, kuna mchezaji anaitwa, PHILIP HAGLUND, jana katupia hat_trick. unafuatilia mpira wa tanzania, spain na england then unajiita mshabik? nilichogundua mtani wewe ni shabiki mkia sio mshabiki soccer, aka shabiki maandazi[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Niwapongeze watani zangu wote ambao hamkubanduka kwenye huu uzi sababu mlijua timu mnayocheza nayo ni mchekea hivyo ushindi ni nje nje.

Najua ipo siku mtapotea hatutawaona hapa. Hongereni aiseee. Ila msijifananishe na Barcelona ile ni chama lingine kabisaaa yaani hamuifikii hata robo. Teh teh teh.

Cc. Sesten Zakazaka, sembo, Ghazwat, King Ngwaba , oscarsolomon, chaliifrancisco, Jungle Fighter, Otorong'ong'o bila kuwasahau Dada zangu watani aminas na Shunie.

Na msisahau ligi bado mbichi hii.
Hatupoi hatuboi,mdogomdogo tu mtakubali mziki wetu. Kwanza nipokee pongezi zako huku nikikutahadharisha kua wenzio wakinyolewa na wewe nywele zako ziandae kwa kuzitia maji kabisaa

Falsafa ya Mbelgiji ni hii: Mpira ni Sanaa, cheza mpira mwingi sana uwaufurahishe watazamaji, fanya mashambulizi ya nguvu utengeneze nafasi za kufunga, na funga magoli kadri unavyoona inafaa....iwe tatu,nne au hata tano😀😀😀

Natamani nyie Yanga mjue kwamba moto huu ndio kwanza umewashwa na hauzimiki kwa dua lenu la kuku Hajar
 
hat trick kwa jana zipo nyingi sana, mtani labda kama hufuatilii mpira, na moja wapo ni hii ya ligi ya sweden allsvenskan.
kati ya timu ya sirius na brommapojkarna, kuna mchezaji anaitwa, PHILIP HAGLUND, jana katupia hat_trick. unafuatilia mpira wa tanzania, spain na england then unajiita mshabik? nilichogundua mtani wewe ni shabiki mkia sio mshabiki soccer, aka shabiki maandazi[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahaaaa. Bora umenijibia Mkuu maana kuiangalia Simba huku Barca basi Mtani ye ndio kamaliza ni hat - trick za dunia nzima. Lol.

sembo umeiona hiyo hat - trick kichaa msafi kanisaidia kukwambia.
 
Nipo mkuu..Ndo maana wala sikuhangaika kukutafuta nilijua tu utafika asubuhi.

Yamkini umeshuhudia mtanange wa hatari..kumbuka timu zinazoburudisha ni Barcelona na Simba SC

Asubuhi njema mkuu
Hahahaaa. Nipo jamaani nilimwambia sembo ntakuja asubuhi maana huwa mida ile nakuwa busy na mambo zengine nje ya jf.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama nawaona vile.

Wapi Ghazwat
 
Nipo mkuu..Ndo maana wala sikuhangaika kukutafuta nilijua tu utafika asubuhi.

Yamkini umeshuhudia mtanange wa hatari..kumbuka timu zinazoburudisha ni Barcelona na Simba SC

Asubuhi njema mkuu
Hahahaaa. Sawa Mtani.

Nimeona japokuwa niseme tu pale ni kama Mtu mzima kupigana na katoto kadogo hivyo ni lazima tu mkubwa apige.

Ahsante! Asubuhi njema na Kwako pia Mkuu.
 
Liandishi la mbute hilo. Anashindanisha na Okwi ambaye anashikilia ufungaji bora wa msimu uliopita!

Tutaimba wimbo mmoja tu SimbaNguvuMoja
kuna mwandishi uchwara wa mwanaspoti alikuwa anamponda Okwi kuwa hawezi kushindana na kina Ambokile kwenye ufungaji Bora naona Okwi kaamua kumjibu kwa vitendo
 
vpi mnajua mchezaji wenu aliyekaa simba miezi sita tu tena kwa mkopo na kucheza match saba jana katupia tena ubelgiji ?hahaha sipati picha kama mikia ndo wangekuwa african lyon.
 
Back
Top Bottom