Tanzania Premier League 'TPL' Ruvu Shooting Vs Simba SC, Uwanja wa Taifa

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Bado Hajar
 
Asante..kwangu ni asubuhi tulivu japo kuna maumivu ya sauti kidogo kulingana na kazi ya Jana.. [emoji3][emoji3] Napoza na Juice kidogo

Huku najianda kufurahi kwa Lipuli kufanya yake J4 [emoji3][emoji3][emoji3] tutakuwa pamoja Insha' Allah

Kwako mtani...!
Hahahaaa. Sawa Mtani.

Nimeona japokuwa niseme tu pale ni kama Mtu mzima kupigana na katoto kadogo hivyo ni lazima tu mkubwa apige.

Ahsante! Asubuhi njema na Kwako pia Mkuu.
 
Nina imani kubwa leo na 'vijana' wa Captain wetu wa Jeshi, Lipuli FC.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Bado Hajar
Hahahaaa. Mdogo wangu huyo ni shabiki jina Shabiki wa kweli hawezi hama timu kirahisi hivyo.

Kama mie siwezi aiseee na haitakaa itokeee nihame chama langu Yanga.
 
Wachaaaaa. Hivyo sauti imekukauka Mtani pole sana kunywa juice isiposaidia nikuletee ile ya Tangawizi 🙈🙈

Hahahaaa. Hiyo jumanne wala usijali nitakuwepo panapo uzima Insha Allah niwaombe msije sema simu zenu hazikuwa na Network.
 
Hahahaaa. Sawa Mtani.

Nimeona japokuwa niseme tu pale ni kama Mtu mzima kupigana na katoto kadogo hivyo ni lazima tu mkubwa apige.

Ahsante! Asubuhi njema na Kwako pia Mkuu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Dada yangu kwa kujitetea hujambo
 
Mtani usihame chama lako ni udhaifu. Lakini unaruhusiwa kushabikia Simba ukiwa huko[emoji3][emoji3][emoji3]

Ukawa unatuletea habari za huko kama Mamluki wetu[emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaaa. Mdogo wangu huyo ni shabiki jina Shabiki wa kweli hawezi hama timu kirahisi hivyo.

Kama mie siwezi aiseee na haitakaa itokeee nihame chama langu Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…