Hahahaaa. Kwenye Utani wa jadi si rahisi kukubali kila wanachosema maana waeza kosa pa kutokea. ππππ[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Dada yangu kwa kujitetea hujambo
Mtani unamkumbuka shabiki kindakindaki wa Yanga, Steve kulialia unajua sasa hivi anaishabikia timu gani?Hahahaaa. Mdogo wangu huyo ni shabiki jina Shabiki wa kweli hawezi hama timu kirahisi hivyo.
Kama mie siwezi aiseee na haitakaa itokeee nihame chama langu Yanga.
Hata usiponitaja najua unaniheshimu.Niwapongeze watani zangu wote ambao hamkubanduka kwenye huu uzi sababu mlijua timu mnayocheza nayo ni mchekea hivyo ushindi ni nje nje.
Najua ipo siku mtapotea hatutawaona hapa. Hongereni aiseee. Ila msijifananishe na Barcelona ile ni chama lingine kabisaaa yaani hamuifikii hata robo. Teh teh teh.
Cc. Sesten Zakazaka, sembo, Ghazwat, King Ngwaba , oscarsolomon, chaliifrancisco, Jungle Fighter, Otorong'ong'o bila kuwasahau Dada zangu watani aminas na Shunie.
Na msisahau ligi bado mbichi hii.
Hahahaaaa. Ngumu kumesa hiyo Mtani.Mtani usihame chama lako ni udhaifu. Lakini unaruhusiwa kushabikia Simba ukiwa huko[emoji3][emoji3][emoji3]
Ukawa unatuletea habari za huko kama Mamluki wetu[emoji3][emoji3][emoji3]
Naona mkuu kichaa msafi umenyongea sana baada ya sembo kukuzingua [emoji3][emoji3][emoji3][emoji2] [emoji2] [emoji2] haya mtani
Hahaha kama ulijua kwanini ulikua mstari wambele kumsapot masau bwire janaNiwapongeze watani zangu wote ambao hamkubanduka kwenye huu uzi sababu mlijua timu mnayocheza nayo ni mchekea hivyo ushindi ni nje nje.
Najua ipo siku mtapotea hatutawaona hapa. Hongereni aiseee. Ila msijifananishe na Barcelona ile ni chama lingine kabisaaa yaani hamuifikii hata robo. Teh teh teh.
Cc. Sesten Zakazaka, sembo, Ghazwat, King Ngwaba , oscarsolomon, chaliifrancisco, Jungle Fighter, Otorong'ong'o bila kuwasahau Dada zangu watani aminas na Shunie.
Na msisahau ligi bado mbichi hii.
Kweli umedhihirisha kwamba wewe ndio shabiki maandazi. TP Mazembe walimnunua SAMATTA kutoka African Lyon?vpi mnajua mchezaji wenu aliyekaa simba miezi sita tu tena kwa mkopo na kucheza match saba jana katupia tena ubelgiji οΌhahaha sipati picha kama mikia ndo wangekuwa african lyon.
Nisamehe bana Babu ujue nimeandika walio changia kwenye huu uzi ndio maana mie nikajua haupo hewani basi.Hata usiponitaja najua unaniheshimu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahahaaa. Kwenye Utani wa jadi si rahisi kukubali kila wanachosema maana waeza kosa pa kutokea. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
@Hajar hivi huyu Masau bwire alifanikiwa kufika kweli huko alipotaka kwenda? [emoji23]Kwa tarifa nilizo zipata masau bwire yuko njiani anaenda kushtaki kua ruvu imecheza na barca na sio simba kama ratiba ilivyo andika
Huku Simba... huku Barca... huku Liverpool ... need I say more?Nisamehe bana Babu ujue nimeandika walio changia kwenye huu uzi ndio maana mie nikajua haupo hewani basi.
Ila kama nakuona Babu si kwa raha uliyonayo. Vp sauti ipo au ndio kama Ghazwat imekauka kwa ushindi wa katimu dhaifu? ππ
Hahahaaa. Kama huyo Steve lialia ni maslahi ndio yalimuamisha + njaa zake basi ndio moyo wake wote akajilazimisha kuuhamisha.Mtani unamkumbuka shabiki kindakindaki wa Yanga, Steve kulialia unajua sasa hivi anaishabikia timu gani?
Vipi kuhusu Kanjunju John, mshanyabiashara wa kariakoo, unajua sasa anashabikia timu gani??
Na hawa wote walihama timu zao, baada ya kipigo kitakatifu toka kwa Simba SC. Naamini hata wewe baada ya mechi yetu ya mzunguko wa 2, naamini tutakua wote Msimbazi.
Hahahahaaaaa. Haijawahi tokea mwana Yanga akaishangilia Simba hata iweje Mkuu.Hahaha kama ulijua kwanini ulikua mstari wambele kumsapot masau bwire jana
povu povu mkuu waambie bungusiro fc wenzio wenye uelewa kidogo wakusaidie sio umekula ndondo lako huko uje kutuharibia hali ya hewa humu[emoji242] [emoji242] [emoji242] mkia[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kweli umedhihirisha kwamba wewe ndio shabiki maandazi. TP Mazembe walimnunua SAMATTA kutoka African Lyon?
Alikuwa kwa mkopo?Je unaweza kumuuza mchezaji wa mkopo na anamilikiwa na timu nyingine?
Sasa hivi anzeni kuchanga tena.Kakolanya yupo Iringa kagoma hayalipwa mshahara miezi 2.
Waza kutembeza bakuli usaidie timu yako ilipe mishahara.
@Hajar unaonaje juu ya haya maoni [emoji115] [emoji115]Kuna wengine huku wanataka Simba ndio wamalizie mechi za kufuzu AFCON ile ya LESOTHO na UGANDA ili Tanzania ifuzu kabisa bila zengwe.
Acheni jamani soka linapigwa Msimbazi
Hahaha.. Kama ambavyo wewe utakua na za kwako.Hahahaaa. Kama huyo Steve lialia ni maslahi ndio yalimuamisha + njaa zake basi ndio moyo wake wote akajilazimisha kuuhamisha.
Mmmh. Sababu sio kile kipigo bana Mtani. Na ingekuwa hivyo tungehama wengi aiseee. Walikuwa na sababu zao hao.
Unga juhudi bana Dada yangu maisha yasonge mbele tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahahaaa. Mdogo wangu huyo ni shabiki jina Shabiki wa kweli hawezi hama timu kirahisi hivyo.
Kama mie siwezi aiseee na haitakaa itokeee nihame chama langu Yanga.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata usiponitaja najua unaniheshimu.