Mi nashabikia timu za mjini sio za kwenye mabwawa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Babu bana, wewe ni mshabiki wa Timu ipi?
Hahahaaaa. Haitokaa itokee mfanane na Barcelona Mtani.@Hajar hivi huyu Masau bwire alifanikiwa kufika kweli huko alipotaka kwenda? [emoji23]
ππππ haya bana babu. Siku kibao kikigeuka uje tukumbushie hizi maneno.Huku Simba... huku Barca... huku Liverpool ... need I say more?
Hahahahaaa. Huyo hajui tofauti ya Club na timu ya Taifa.@Hajar unaonaje juu ya haya maoni [emoji115] [emoji115]
Niko poa... makange yanapoa hapa...ππππ haya bana babu. Siku kibao kikigeuka uje tukumbushie hizi maneno.
Mzima lakini?
Hahahaaa. Sifikirii Mtani kuja kuwa na sababu ya kuikacha Yanga aiseee.Hahaha.. Kama ambavyo wewe utakua na za kwako.
πππππ lolUnga juhudi bana Dada yangu maisha yasonge mbele tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaha.. Nishazoea gonga gonga, butua butua siziwezi.Hahahaaa. Sifikirii Mtani kuja kuwa na sababu ya kuikacha Yanga aiseee.
Kama wewe Mtani ambavyo haitakaa itokee uhamie Jangwani au inawezekana eee?
Uwiiii ngoja nifanye faster babu niyaibukie aisee. πππππNiko poa... makange yanapoa hapa...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lol
Umeona Sasa. Ila nimecheka kwa sauti Wallah. Lol.Hahaha.. Nishazoea gonga gonga, butua butua siziwezi.
Nimeona bana, Babu yuko Moto kwenye Soka
ππππππMi nashabikia timu za mjini sio za kwenye mabwawa
Hahahaaa. Acha tu ila Babu ana mechi na mechi za kuchangia kwenye nyuzi hasa zile wanazoshinda ndio utamuona ameibuka.Nimeona bana, Babu yuko Moto kwenye Soka
Bibie mzima, umeona kazi hio!!! Achaneni na mkali wa nyika huyoHahahahaaa. Huyo hajui tofauti ya Club na timu ya Taifa.
Ila mnajuaga kulewa sifa banaaa.
Kile kipigo cha jana kinaitwa nje ndani yani sio ruvu tu hadi nyie wayanga mmeuzunikaHahahahaaaaa. Haijawahi tokea mwana Yanga akaishangilia Simba hata iweje Mkuu.
Hivyo kila mtakapokuwepo basi lazima tuwe against tu Mtani. Hahahaaa. Yaani hata mkicheza na Alliance tutakuwa huko huko licha ya kuwa mtashinda. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaaa upande wa pili kazi imeanza kutembeza bakuliYebo Yebo changeni Kakolanya kagoma yupo Iringa hajalipwa mishahara ya miezi 2.
Wacheni mabingwa wafanye yao.
Bakuli limeanza.
Umeleta uzushi kuhusu Samatta umejibiwa umefunga domo.
Hahahaaa. Kwa timu kama ile lazima tuwaone Mkuu.Bibie mzima, umeona kazi hio!!! Achaneni na mkali wa nyika huyo