Ulianza vizuri ila umekuja kuvurunda mwishon natu emoj twakopovu povu mkuu waambie bungusiro fc wenzio wenye uelewa kidogo wakusaidie sio umekula ndondo lako huko uje kutuharibia hali ya hewa humu[emoji242] [emoji242] [emoji242] mkia[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahahaaa. Kama sie tulivyoshindwa kwa KMC yaani maumivu yalikuwa makubwa kwenu kuliko KMC yenyewe. Teh teh.Kile kipigo cha jana kinaitwa nje ndani yani sio ruvu tu hadi nyie wayanga mmeuzunika
ππππππUlianza vizuri ila umekuja kuvurunda mwishon natu emoj twako
Unavyo zungumzia barcelona una wachanganya wadau ujue barcelona ziko mbili nivizuri uwe unatoa ufafanuzi vizuri kila mtu aweze kukuelewa hoja yako kua unazungumzia barcelona ipiHahahaaaa. Haitokaa itokee mfanane na Barcelona Mtani.
Ikiwa nyie mnajiweka level hizo kina esperance, Al Ahaly, Setif , etoile du sahel, Tp Mazembe wajiweke level zipi?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu ni zaidi ya uchokozi Mwifwa.
Mkuu leo sio zamu yako kutembeza bakuli?Hahahaaa. Kwa timu kama ile lazima tuwaone Mkuu.
Yetu macho sababu ligi bado changa ila mjitahidi ili msije kimbia kauli zenu tu.
Hahahaaa. Ila mnanichekesha sana nyie watani zangu.Unavyo zungumzia barcelona una wachanganya wadau ujue barcelona ziko mbili nivizuri uwe unatoa ufafanuzi vizuri kila mtu aweze kukuelewa hoja yako kua unazungumzia barcelona ipi
Kiukwel gem yenu na kmc ilikua ina asilimia nyingi ya sare basi tu KMC aliangukiwa na jani la mchicha akafaHahahaaa. Kama sie tulivyoshindwa kwa KMC yaani maumivu yalikuwa makubwa kwenu kuliko KMC yenyewe. Teh teh.
Hahahaaa. Mie ni kesho Mtani ila mjiandae kunichangia maana ntampitishia kila mmoja wenu na najua kwa raha mliyonayo ya ushindi wa jana basi mtachanga tu.Mkuu leo sio zamu yako kutembeza bakuli?
Kwani barcelona gani yenyewe ilicheza jana ikampiga mtu 5?Hahahaaa. Ila mnanichekesha sana nyie watani zangu.
Barcelona mbili ipi na ipi Mtani?
ππππ ngumu kumesa sana hiyo mdogo wangu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio hivyo Dada yangu, hatutaki shida ya kuokoa wakati tahadhari inawezekana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngumu kumesa sana hiyo mdogo wangu.
Msaada utapewa tatizo mtani una jeuriHahahaaa. Mie ni kesho Mtani ila mjiandae kunichangia maana ntampitishia kila mmoja wenu na najua kwa raha mliyonayo ya ushindi wa jana basi mtachanga tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππππ poleni sana Watani.Kiukwel gem yenu na kmc ilikua ina asilimia nyingi ya sare basi tu KMC aliangukiwa na jani la mchicha akafa
πππππ hii naiita Swali juu ya Swali Mtani ; tuseme tu mlikuwa na mfanano wa ushindi na si kwa vitu vingine ndio sababu hata Barcelona goli zao zilikuwa nzuri na za kiwango cha juu tofauti na nyie labda ile penalti ya suarez ndio naeza iita haikuwa bomba sanaKwani barcelona gani yenyewe ilicheza jana ikampiga mtu 5?
Hahaaaa. Jeuri inakosekanaje kwa mfano Mtani.Msaada utapewa tatizo mtani una jeuri
wale wapiga debe wa Masoud Juma wote kimya tena wengi walikuwa yanga
Mwingine ni yule Oscar Oscar anaweka uyanga kwenye uchambuzikuna mwandishi uchwara wa mwanaspoti alikuwa anamponda Okwi kuwa hawezi kushindana na kina Ambokile kwenye ufungaji Bora naona Okwi kaamua kumjibu kwa vitendo
Hahaahaaa taratibu umeanza kuelewa ni barcelona gani nayo izungumzia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii naiita Swali juu ya Swali Mtani ; tuseme tu mlikuwa na mfanano wa ushindi na si kwa vitu vingine ndio sababu hata Barcelona goli zao zilikuwa nzuri na za kiwango cha juu tofauti na nyie labda ile penalti ya suarez ndio naeza iita haikuwa bomba sana