Tanzania Premier League 'TPL' Ruvu Shooting Vs Simba SC, Uwanja wa Taifa

Simba na Barcelona ndio timu pekee zinazocheza mpira mzuri duniani ukibisha unapaliwa na mate unakufa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu yule Chama aende pale Man U maana Pogba na Lukaku wameifanya man U imekuwa pombe ya ngomani kila mtu anajinywea
 

Ligi bado mbichi kweli! Na ndiyo sifa ya Mnyama Kula Nyama Mbichi, nyama choma Watakula Madereva Wa Malorry.
 
wale waliokuwa wanasema tumenunua kwa Alliance wako wapi naona ndio maana viongozi wa Alliance waliamua kuwafukuza makocha wao kwani hawakuwaambia ukweli kuwa mziki wa Simba ni mkubwa na wao wanaogopa kuchafua cv
 
Mahaba niue...

Miss u mingimingi...

Asanta kwa kunikumbuka...

Unikumbukage na PM basi...dah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sawa Babu yangu wa faida ila PM alienda nayo bibi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sawa Babu yangu wa faida ila PM alienda nayo bibi
Hapo ndipo unaponiuzigi sasa. Kwani unadhani bibi yako hajui kuwa mjukuu ni mchumba wa babu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…