Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Mchango mtapewa lakini tukikutana taifa tutawapa mchango wa magoli matatu tuHahaaaa. Jeuri inakosekanaje kwa mfano Mtani.
Nyie tuchangieni bana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchango mtapewa lakini tukikutana taifa tutawapa mchango wa magoli matatu tuHahaaaa. Jeuri inakosekanaje kwa mfano Mtani.
Nyie tuchangieni bana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahaHahahaaa. Kwa timu kama ile lazima tuwaone Mkuu.
Yetu macho sababu ligi bado changa ila mjitahidi ili msije kimbia kauli zenu tu.
Mi nashabikia timu za mjini sio za kwenye mabwawa
Mahaba niue...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Babu shikamoo
Niwapongeze watani zangu wote ambao hamkubanduka kwenye huu uzi sababu mlijua timu mnayocheza nayo ni mchekea hivyo ushindi ni nje nje.
Najua ipo siku mtapotea hatutawaona hapa. Hongereni aiseee. Ila msijifananishe na Barcelona ile ni chama lingine kabisaaa yaani hamuifikii hata robo. Teh teh teh.
Cc. Sesten Zakazaka, sembo, Ghazwat, King Ngwaba , oscarsolomon, chaliifrancisco, Jungle Fighter, Otorong'ong'o bila kuwasahau Dada zangu watani aminas na Shunie.
Na msisahau ligi bado mbichi hii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sawa Babu yangu wa faida ila PM alienda nayo bibiMahaba niue...
Miss u mingimingi...
Asanta kwa kunikumbuka...
Unikumbukage na PM basi...dah
Hapo ndipo unaponiuzigi sasa. Kwani unadhani bibi yako hajui kuwa mjukuu ni mchumba wa babu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sawa Babu yangu wa faida ila PM alienda nayo bibi
Bora club bingwa africa ianze maana pond fc na wenzake watatusababishia injury tu zisizo na sababuHuu mfumo gani jamani mechi mbili goli 10 tukiendelea na huu mfumo tutabaki wenyewe ligi kuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]