Hahahaaa. Ndio maana wanasemaga adui muombee njaa Mtani.[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] daah yani kwa soka lote lile analopiga SIMBA ambalo vyura wanatamani wawe nalo halafu matokeo yawe kama hivyo ulivyosema [emoji115] umeninyong'onyeza sana
Hii Mechi imeshaisha manake Ruvu leo anararuliwa Mapema sana..
Simba hafungwi na Wagombea Ugali Hata Siku moja.
Mtani nimemkumbuka na barafuyamoto yuko wapi na huyu maana naye ni Simba lia liaMkuu King Ngwaba karibu sana..Yaani timu Lunyasi raha tupu, Mkuu OKW BOBAN SUNZU Shunie akamilishe kikosi..SimbaNguvuMoja
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Umeonaeeee. Yaani mtu anakuwa guest kwa muda mpaka jukwaani papoe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ni zaidi ya njaa mtaniHahahaaa. Ndio maana wanasemaga adui muombee njaa Mtani.
ππππ hawana hamu na timu yao.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio maana mashabiki wa Arsenal huwa wanakonda kipindi cha EPL kisa presha za kufungwa.
Sasa hapa mtu anaamua amute tu hata kama umuite vipi anakuangalia bila kukusemesha
ππππ na iwe tu Mtani. Maana nikikuombea shibe mie sitapumua Mtaani.Hii ni zaidi ya njaa mtani
Mtani nimemkumbuka na barafuyamoto yuko wapi na huyu maana naye ni Simba lia lia
Hii kawaida kama kupenda vitu vingine tu lakini inafika kipindi mtu unakuwa addicted[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawana hamu na timu yao.
Umeonaeee. Ila ushabiki huu una raha na karaha saa nyingine aiseee.
Achana na huyu Mtani wangu sembo yaani nahisi mechi ikiwa kesho basi ye leo kutwa nzima ana google tu vya kuja kuvileta huku.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simba ikifungwa anapakimbiaga hapa yaani hata um-mention vp hatokei wala kukupa likes akifuatiwa na Ghazwat. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Namkumbuka aisee. Yapungue tu aje maana anamisika mbwembwe zake.barafuyamoto ni majukumu..Lakini atakuja soon, Yaani ni Lunyasi balaa
Na kweli usemalo mdogo wangu.Hii kawaida kama kupenda vitu vingine tu lakini inafika kipindi mtu unakuwa addicted
Mkuu King Ngwaba karibu sana..Yaani timu Lunyasi raha tupu, Mkuu OKW BOBAN SUNZU Shunie akamilishe kikosi..SimbaNguvuMoja
Hamna mtani ukiniombea shibe na wewe utaongezeka mara dufu halafu pamoja na hayo nitakupa goli moja la Chama ukaombee mkopo benki au unasemaje hapo [emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] na iwe tu Mtani. Maana nikikuombea shibe mie sitapumua Mtaani.
Sio network mtani sema unakuwa hujui matokeo yatakuwaje banaaa. πππHahaha.. Mara nyingi tatizo hua ni network. Ila leo mnara wa simu unasoma H+, kwahiyo nipo sana.
Hahaha.. Poa Mtani.Sio network mtani sema unakuwa hujui matokeo yatakuwaje banaaa. [emoji12][emoji12][emoji12]
Oooh. Usijali Mtani mtanitag maana saa moja usiku nakuwa busy na mambo mengine nje ya jf hivyo kesho asubuhi ntakuja niwaone mlivyong'onyea baada ya matokeo kuwa kinyume na matarajio yenu.