Tanzania Premier League 'TPL' Ruvu Shooting Vs Simba SC, Uwanja wa Taifa

Tanzania Premier League 'TPL' Ruvu Shooting Vs Simba SC, Uwanja wa Taifa

Umeonaeeee. Yaani mtu anakuwa guest kwa muda mpaka jukwaani papoe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ndio maana mashabiki wa Arsenal huwa wanakonda kipindi cha EPL kisa presha za kufungwa.

Sasa hapa mtu anaamua amute tu hata kama umuite vipi anakuangalia bila kukusemesha
 
😂😂😂😂 hawana hamu na timu yao.

Umeonaeee. Ila ushabiki huu una raha na karaha saa nyingine aiseee.
 
Achana na huyu Mtani wangu sembo yaani nahisi mechi ikiwa kesho basi ye leo kutwa nzima ana google tu vya kuja kuvileta huku.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simba ikifungwa anapakimbiaga hapa yaani hata um-mention vp hatokei wala kukupa likes akifuatiwa na Ghazwat. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hahaha.. Mara nyingi tatizo hua ni network. Ila leo mnara wa simu unasoma H+, kwahiyo nipo sana.
 
Na hii ni Dk ya 2 tu ya mchezo.. Ndo mana nikataadharisha mapema, wale wanaotarajia kuangalia mtanange kipindi cha pili itakua too late.
Nakutanguliza pole zangu kwao kwa kukosa burudani ya leo.
IMG-20181028-WA0030.jpeg
 
Hahaha.. Mara nyingi tatizo hua ni network. Ila leo mnara wa simu unasoma H+, kwahiyo nipo sana.
Sio network mtani sema unakuwa hujui matokeo yatakuwaje banaaa. 😜😜😜

Oooh. Usijali Mtani mtanitag maana saa moja usiku nakuwa busy na mambo mengine nje ya jf hivyo kesho asubuhi ntakuja niwaone mlivyong'onyea baada ya matokeo kuwa kinyume na matarajio yenu.
 
Sio network mtani sema unakuwa hujui matokeo yatakuwaje banaaa. [emoji12][emoji12][emoji12]

Oooh. Usijali Mtani mtanitag maana saa moja usiku nakuwa busy na mambo mengine nje ya jf hivyo kesho asubuhi ntakuja niwaone mlivyong'onyea baada ya matokeo kuwa kinyume na matarajio yenu.
Hahaha.. Poa Mtani.
 
Back
Top Bottom