Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana Jesse John..Kazi ya Moo hiyo na mimi ngoja nikaombe niuziwe hisa 10% ili soon tuwe kama Timu fulani pale DRC
Kakolanya bado sana kwa Manula.
KabisaaAsante sana Jesse John..
Kazi aliyoifanya Mo katika klabu ya Simba SC, kitaalamu tunaiita MO Effect.. kwako Jesse
Yap yani kama ni doctor basi kamchoma mgonjwa wireless ijection yani hadi walioko mbali na hospitali dawa imewaingiaHahahahahah! Inawauma?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] nimemkumbuka mwl.kashashaAsante sana Jesse John..
Kazi aliyoifanya Mo katika klabu ya Simba SC, kitaalamu tunaiita MO Effect.. kwako Jesse
Adam salamba
NdiyoAmetupia?
Mkuu ukinitajia majina ya dawa za kienyeji siwezi kukuelewa kumbuka tunazungumzia habari za mpira sio waganga na dawa zao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mkuu Kakolanya anacheza mpira gani [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo
Hahahahahah simba bana mechi tatu magoli 1389' Adamu Salambaaaaaaaaaaa anaandika bao la tano kufuatia kazi nzuri ya Dilunga
Ruvu Shooting 0-5 Simba SC
Acha kuwaombea wenzako mabaya basi jaribu kua na hurumaYaanI simba hii natamani Turudiane na Vyura
Mkuu.. Huyu Salamba kila akiingia dk 5 za mwisho, anacheka na nyavu.. Je tukimpa 90?? Ama kweli yajayo yanafurahisha.89' Adamu Salambaaaaaaaaaaa anaandika bao la tano kufuatia kazi nzuri ya Dilunga
Ruvu Shooting 0-5 Simba SC