Update makini Sana hii!62' kadi ya njano kwa Bruce Kangwa baada ya kumvuta jezi Kagere na inakuwa mpisa wa adhabu kwenda lango la Azam
Mbona unatesekaMbeleko fc bado dk zao za kupewa penalty
Wamepatata penalt ?Mbeleko fc bado dk zao za kupewa penalty
Dk za penalty hazijafikaWamepatata penalt ?
Mpisa wa adhabu commentator unakwama wapi πππ62' kadi ya njano kwa Bruce Kangwa baada ya kumvuta jezi Kagere na inakuwa mpira wa adhabu kwenda lango la Azam
Vyura fc bhna mnamattzo sanaMbeleko fc bado dk zao za kupewa penalty
Mbona unawasiwasiSimba leo atapewa goli
πππMikia bado tu hawajafunga?
Ohoooo79' Bruce Kangwa anamfanyia madhambi Okwi na refa anaamuru mpira upigwe kwenda lango la Azam