Tanzania Premier League (TPL).... Simba SC dhidi ya Azam FC, moja kwa moja kutokea uwanja wa Uhuru, Dar es salaam

Tanzania Premier League (TPL).... Simba SC dhidi ya Azam FC, moja kwa moja kutokea uwanja wa Uhuru, Dar es salaam

62' kadi ya njano kwa Bruce Kangwa baada ya kumvuta jezi Kagere na inakuwa mpira wa adhabu kwenda lango la Azam
 
Watangazaji wa Azam wanai_overrate sana timu ya muajiri wao pumbaavu
 
69' mabadiliko kwa timu ya simba anaotoka James Kotei, anaingia John Bocco
 
72' kona ya kumi na moja kwa timu ya simba, Niyonzima anapiga inaokolewa na Mahundi
 
75' kona ya kumi na tatu kwa timu ya simba, wameanza kona fupi Niyonzima anapiga krosi inaokolewa na Mahundi unakuwa mpira wa kurushwa
 
79' Bruce Kangwa anamfanyia madhambi Okwi na refa anaamuru mpira upigwe kwenda lango la Azam
 
Back
Top Bottom