Tanzania Premier League (TPL).... Simba SC dhidi ya Azam FC, moja kwa moja kutokea uwanja wa Uhuru, Dar es salaam

Aaaah Kuna siku nitaacha kishabiki Mpira maana naona ni uchizi fulani vile.

Timu inafungwa furaha zote za siku nzima zinayeyuka.
 
We unaujulia wapi si ungekuwa mchambuzi super sport au star kama samatta??
unauju
Mimi nina leseni ya Ukocha kwa taarifa yako, nafundisha timu ya taasisi tunaposhiriki michuano mbalimbali ya Kitaifa kama Assistant Coach.

Mwalimu wangu aliyenifundisha kozi ya Ukocha ni Mwl Kashasha pale Uwanja wa Taifa mwaka 2015.

Ndio maana nakwambia wewe hujui mpira na huujui kweli wala sheria za mpira huzijui Take time to learn
 
Mbeleko fc wasipopewa penalty kushinda huwa ni vigumu
Kwenye Mechi ya Mbeya City, Tanzania prisons, Biashara, Coastal union, JKT TANZANIA Simba ilipewa penati? Acha utani usio na akili Simba tunahitaji Points nane tu kuwa mabingwa
 
mpira huchezwa uwanjani nyie kumbe sio magazetini haya simba waendelea kudondosha lakini yatakuwa kama ya Man u na Arsenal huyu akifungwa na jingine jinga linafungwa tusubiri ya yanga tuone.
Manara eee vaa jezi ya yanga uvue haraka
 
Kwenye Mechi ya Mbeya City, Tanzania prisons, Biashara, Coastal union, JKT TANZANIA Simba ilipewa penati? Acha utani usio na akili Simba tunahitaji Points nane tu kuwa mabingwa
Hata mechi na yanga hatukupata penalt mkuu.. Tuliwala bila condom.
 
Kesho nani na nani mkuu? Na simba anakuwa na points ngapi mpaka leo?
Simba ana points 82 michezo 33
Yanga ana points 80 michezo 35

Yanga anacheza kesho ntakufahamisha na nani
 
Tusipokuwa makini simba tutakosa ubingwa hivi hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…