Nyakibimbili
Senior Member
- May 4, 2019
- 185
- 286
Alleykum msalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam95' na mpira umekwisha, Simba 0-0 Azam
tukutane kesho panapo uzima
Asalam Aleyqum
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alleykum msalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam95' na mpira umekwisha, Simba 0-0 Azam
tukutane kesho panapo uzima
Asalam Aleyqum
Habari njema sana hii95' na mpira umekwisha, Simba 0-0 Azam
tukutane kesho panapo uzima
Asalam Aleyqum
Bila shaka unazungumzia Yanga.Mbeleko fc wasipopewa penalty kushinda huwa ni vigumu
HahahahahahahahahhahahahahahahahahMbeleko fc wasipopewa penalty kushinda huwa ni vigumu
Kesho nani na nani mkuu? Na simba anakuwa na points ngapi mpaka leo?95' na mpira umekwisha, Simba 0-0 Azam
tukutane kesho panapo uzima
Asalam Aleyqum
Mimi nina leseni ya Ukocha kwa taarifa yako, nafundisha timu ya taasisi tunaposhiriki michuano mbalimbali ya Kitaifa kama Assistant Coach.We unaujulia wapi si ungekuwa mchambuzi super sport au star kama samatta??
unauju
Kwenye Mechi ya Mbeya City, Tanzania prisons, Biashara, Coastal union, JKT TANZANIA Simba ilipewa penati? Acha utani usio na akili Simba tunahitaji Points nane tu kuwa mabingwaMbeleko fc wasipopewa penalty kushinda huwa ni vigumu
Tulia tuchukue ubingwa nyie churaMbeleko fc wasipopewa penalty kushinda huwa ni vigumu
Shangaa hata wewe, na bado tunaongoza ligiHawa si walifunga 8 majuzi kati hapa!!!?
Simba point 82 bado game 5Kesho nani na nani mkuu? Na simba anakuwa na points ngapi mpaka leo?
Hata mechi na yanga hatukupata penalt mkuu.. Tuliwala bila condom.Kwenye Mechi ya Mbeya City, Tanzania prisons, Biashara, Coastal union, JKT TANZANIA Simba ilipewa penati? Acha utani usio na akili Simba tunahitaji Points nane tu kuwa mabingwa
Hii game ilikuwa ngumu sana mkuu, .. ila sio mbaya kwenye point 6 tumepata 4 dhidi ya Azam fc.Hawa Azam wanatuletea usiku..
Twendeni hadi mwisho tuone mtaokota kombe gani... Sasa hv nyie kila kidume ni chenuWalidhani coast union