Tanzania Premier League 'TPL' Simba SC Vs Mtibwa Sugar, Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam

Simba 3 yanga 0
Sasa Yanga wameingiaje hapa mkuu?[emoji1787][emoji23]. Nimeona jana kwenye taarifa ya habari wanatakiwa wakafuturishwe. Kwa jinsi alivyo ongea yule mwenyekiti wao inaonesha dhahiri amekata tamaa na Ubingwa mwaka huu[emoji23]
 
Tukishinda na juma pili tutahitaji draw moja tu, halafu hizo nyingine tufungwe haina shida. Wakati hawa wengine wanatakiwa waifunge Azam kwa mara ya pili
 
unamaanisha futari fc
 
Tukishinda na juma pili tutahitaji draw moja tu, halafu hizo nyingine tufungwe haina shida. Wakati hawa wengine wanatakiwa waifunge Azam kwa mara ya pili
Sio tushinde moja na draw mbili! ? au tushinde mbili muhimu point 5 tu.
 
77' Simba SC 3-0 Mtibwa Sugar uwanja wa Uhuru TPL
 
80' Simba SC 3-0 Mtibwa Sugar Uwanja Uhuru TPL
 
Back
Top Bottom