Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukiteseka uwe na sababusimba wamenunua hii mechi
Nunueni na nyiesimba wamenunua hii mechi
kama nyinyi mlikubali huo muamala mtibwa ni nani hasa akataeMuamala FC kafanya yao.
Sasa Yanga wameingiaje hapa mkuu?[emoji1787][emoji23]. Nimeona jana kwenye taarifa ya habari wanatakiwa wakafuturishwe. Kwa jinsi alivyo ongea yule mwenyekiti wao inaonesha dhahiri amekata tamaa na Ubingwa mwaka huu[emoji23]Simba 3 yanga 0
Kama alivyonunua ya Yanga...simba wamenunua hii mechi
kwani uongo simba wamenunua wanafunga magoli mepesi sana . simba hovyo sana wanaharibu hii ligiukiteseka uwe na sababu
unamaanisha futari fcTukishinda na juma pili tutahitaji draw moja tu, halafu hizo nyingine tufungwe haina shida. Wakati hawa wengine wanatakiwa waifunge Azam kwa mara ya pili
Sio tushinde moja na draw mbili! ? au tushinde mbili muhimu point 5 tu.Tukishinda na juma pili tutahitaji draw moja tu, halafu hizo nyingine tufungwe haina shida. Wakati hawa wengine wanatakiwa waifunge Azam kwa mara ya pili
Hao hao mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]. Asante kwa kuniongezea jina lingine mkuu.unamaanisha futari fc
Kafunge wewe hayo magoli mazito. !!!kwani uongo simba wamenunua wanafunga magoli mepesi sana . simba hovyo sana wanaharibu hii ligi
Yaaah! Kweli mkuu. Asante kwa kunikumbusha.Sio tushinde moja na draw mbili! ? au tushinde mbili muhimu point 5 tu.
[emoji28]Kafunge wewe hayo magoli mazito. !!!
Muhimu points 4 tuu maana GD tunawazidi zaudi ya 25Yaaah! Kweli mkuu. Asante kwa kunikumbusha.
Jumapili zinavunwa nyingine 3 mkuu. Hebu hesabia mojaMuhimu points 4 tuu maana GD tunawazidi zaudi ya 25
kwani uongo simba wamenunua wanafunga magoli mepesi sana . simba hovyo sana wanaharibu hii ligi