Kumenogwa haswa
Wouzerrrr [emoji91][emoji91][emoji91]Kipindi cha pili sasa dakika 52 uwanja wa Uhuru
Simba SC 2-0 Ndanda FC
Hongera shemela Kwa ubingwaWoyooooo
Simba bingwa
Kuna watu watabish basi
Na tiketi yako mechi ya sevillaWoyooooo
Simba bingwa
Kuna watu watabish basi
Asante shemela wangu halafu nimekumiss najua tukichukua ubingwa nitakuona kama kawaida yetuHongera shemela Kwa ubingwa
Asanteee nitakutafutaNa tiketi yako mechi ya sevilla
Usihofu kabisa shemela wa mimiAsante shemela wangu halafu nimekumiss najua tukichukua ubingwa nitakuona kama kawaida yetu