Tanzania Premier League 'TPL' Simba SC Vs Ndanda FC Uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam

Tanzania Premier League 'TPL' Simba SC Vs Ndanda FC Uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam

73' Anatoka Yusuf Mlipili..nafasi yake anachukua Pascal Wawa
 
Anatoka John Bocco..Anaingia Rashid Juma upande wa Simba SC
 
90+3' Wakati wowote mpira utamalizika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam

Naaaaaaaaaam mpira umekwisha, ambapo Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao mawili bila majibu akiwekwa kimiani na Maddie Kagere 05' 10.

Simba SC 2-0 Ndanda FC
 
Asante shemela wangu halafu nimekumiss najua tukichukua ubingwa nitakuona kama kawaida yetu
Usihofu kabisa shemela wa mimi

Nipo shemela wangu,leo usiku nitakuja kf by saa2 hivi
 
Back
Top Bottom